Tunaomba CV ya Humphrey Polepole

Tunaomba CV ya Humphrey Polepole

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
2,107
Reaction score
3,029
Jamani ni muhimu tufahamu CV,ya huyu mpambanaji wa taifa letu pendwa. Maana amejilupwa sana.

Alikosoma yeye na lisu ndo tuanze kupeleka wajukuu zetu huko. Elimu yake? Exposure yake? Kabila lake ? Ni kwa nia njema tu .

Mungu mbariki Polepole, na inua wengine wakinga Polepole wengi zaidi ikikupendeza Ee Mungu !
Taifa kwanza vyama badae.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Mungu mbariki pole pole, na inua wengine wakinga pole pole wengi zaidi ikikupendeza Ee Mungu !
Taifa kwanza vyama badae.

Mungu ibariki Tanzania.
Sa100 hauziki
 
Mungu Toka lini akabariki wanafiki na wewe!!?
 
Yaani kwamba unataka mpka education experience yake ya o level na primary???????????????
 
Mnafiki hana msamaa mbele ya Mungu ndugu.
Hata angekuwa na dhambi nyekundu kama damu , Akili kwa kinywa chake, atasamehewa, zitakuwa nyeupe kama sufu, yeye amekili kuwa alikosea, kwa kuonyesha vitendo.
 
Jamani ni muhimu tufahamu CV,ya huyu mpambanaji wa taifa letu pendwa. Maana amejilupwa sana.

Alikosoma yeye na lisu ndo tuanze kupeleka wajukuu zetu huko. Elimu yake? Exposure yake? Kabila lake ? Ni kwa nia njema tu .

Mungu mbariki Polepole, na inua wengine wakinga Polepole wengi zaidi ikikupendeza Ee Mungu !
Taifa kwanza vyama badae.

Mungu ibariki Tanzania.
Weka CV ya Sir Mia
 
Back
Top Bottom