Tunaohamia Dodoma tukutane Hapa

Hahaha tafuteni ukumbi mkutane, hapa tuachieni sisi tusiohamia dodoma.
 
Mi nataka nihamie kama mjasiliamali...next month ntakaa hapo kama two weeks kufanya survey
 
Dodoma natembeaga sana ukanda huo, nikija next time naomba uwe mwenyeji wangu, we si mkali wa machimbo?
[emoji92][emoji146][emoji145][emoji146][emoji145][emoji146][emoji145][emoji92]
[emoji445][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji445]
[emoji122][emoji156][emoji153][emoji156][emoji153][emoji156][emoji153][emoji122]
[emoji441][emoji445][emoji448][emoji445][emoji444][emoji350][emoji445][emoji450]
Party Time!
Usjali
 
Hahahaha soon nitakucheki nikija, full bata nikija, machimbo ya maana unipeleke yale wanaojifichiema wabunge na mawaziri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…