Mkuu unapajua kwa wiso ?Nipo hapa mnadani Area,weekend imetulia kipande hii
Kabanda kangu ka biashara kapo hapo hapo mnadani kushoto kwako kama unarudi mjini, ila kwa sasa nimefunga karibu sana kila Jumamosi nakuja chukua paja la mbuzi na mbavu zake nachemsha supu, nimepapenda sana siondoki [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nipo hapa mnadani Area,weekend imetulia kipande hii
Kumbe ni kweliKaribu barabara ya 6,7,8,9,10 na 11 hapo ndipo huduma zote utazipata
Karibu dom mkuu..ila watch out,huu mji haujaombewa siku nyingi...una vishawishi..ikiwezekana uje na mamiloo.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Mimi ni mwajiriwa wa serikalini katika wizara mojawapo Nimehamishiwa kwenye mji mkuu wa Dodoma. Ofisi zetu zipo huku Udom.
Kama nawe ni mmoja wa wahamishiwao mjini Dodoma.
Tukutane hapa Kwa kujitanabaisha kwamba umetokea taasisi ipi na ofc yako ipo wapi.
Nawakaribisha Sana.
Leo nataka nataka niwe na weweKaribu Dodoma Kama Unapenda bata usiache kunicheki Popote utakapotaka nitakupelekaaaa
Mmeambiwa mkae huko hata weekend msije Dar, mkae eneo la kazi hahahahaDodoma kuna bata ndogo ndogo za kutoshaa. Hongera kwa uhamisho mkuu. SGR ikikamilika ntakuwa nakuja na mke wangu kuspend wk emd Dom.
Eleza uwe na mm kivipiLeo nataka nataka niwe na wewe
Kumbe tunavuta oxygen mojaKaribu barabara ya 6,7,8,9,10 na 11 hapo ndipo huduma zote utazipata
***** m mbona nipo kitambo hujawai kunipeleka umekuwa mtu wa kunidesh dadekKaribu Dodoma Kama Unapenda bata usiache kunicheki Popote utakapotaka nitakupelekaaaa