Tunanunua mayai ya kisasa

MagembeJr3

New Member
Mar 31, 2020
3
5
Natafuta mfugaji wa kuku wa mayai ya kisasa mwenye uwezo wakunisambazia Tray 100 kila baada yasiku 2.
Tutaingia mkataba/makubaliano kati yetu nayeye, hivyo kwayeyote mwenye uhitaj wa biashara anakaribishwa.
Tutanunua Tray kwa 6500 Tsh.
Contact: +255 712 312 330 (WhatsApp, Calls and Sms)

Karibuni sana..
 
We jamaa kuwa na huruma basi kwa wafugaji jana tarehe 03/08/2020 mayai Dodoma yameuzwa Tshs 10,000 - 11,000 bei ya jumla. Hivi hatakama ni dalali nenda na uhalisia kidogo wa soko. Kwa bei zako hizo huo ni ulanguzi mkuu
 
Naona watu wengi mnashindwa kuelewa hii baiashara ilivyo. Unapofuga kuku wachache wamayai definetly lazima tray lako utauza kwabei kubwa lakn unapokua na kuku wengi wamayai (vice versa is true)

Kwasasa soko lamayai kwa bei ya jumla linaanzia 6500 - 6800 (nenda shekilango soko lamayai ukajionee) so naposema nahitaj msambazaj kwa tray 100 kwa 6500 hyo n minimum starting price (kulingana nabei ya soko kwasasa), hivyo nivyema kuzungumza ukiwa unajua bei halisia lkn sio kuongea kiushabiki tu.

Pia bei ya tray inaongezeka au kupungua kulingana na ukubwa wa mayai so ndio maana kuna bei tofaut sokoni, hivyo kama ww unauza kwa 7000 au 8000 kwa tray its well and good but kwetu bei tunayonunulia kwa tray nikulingana na bei yasoko
 
Kwanini usiende kununua hapo shekilango?

Umedhalilisha sana hiyo tinted mkuu?
 
Naona watu wengi mnashindwa kuelewa hii baiashara ilivyo. Unapofuga kuku wachache wamayai definetly lazima tray lako utauza kwabei kubwa lakn unapokua na kuku wengi wamayai (vice versa is true)

Kwasasa soko lamayai kwa bei ya jumla linaanzia 6500 - 6800 (nenda shekilango soko lamayai ukajionee) so naposema nahitaj msambazaj kwa tray 100 kwa 6500 hyo n minimum starting price (kulingana nabei ya soko kwasasa), hivyo nivyema kuzungumza ukiwa unajua bei halisia lkn sio kuongea kiushabiki tu.

Pia bei ya tray inaongezeka au kupungua kulingana na ukubwa wa mayai so ndio maana kuna bei tofaut sokoni, hivyo kama ww unauza kwa 7000 au 8000 kwa tray its well and good but kwetu bei tunayonunulia kwa tray nikulingana na bei yasoko
Sio kweli jana nimenunua tray 8000 apo apo shekilango
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom