S Sp donor Member Joined Nov 17, 2018 Posts 62 Reaction score 67 Jul 23, 2021 #1 Habari wadau mwenye mawe ya kwenye nyongo za ng'ombe nanunua. Njoo PM tuongee biashara
B I N A M U JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 1,495 Reaction score 2,403 Jul 23, 2021 #2 Doooh
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,516 Reaction score 13,270 Jul 23, 2021 #3 Kwanini usiende machichioni utapata nyingi wakisha chinja au sio kila Ng'ombe anakuwa nazo?
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,059 Reaction score 15,534 Jul 23, 2021 #4 PROF NDUMILAKUWILI said: Kwanini usiende machichioni utapata nyingi wakisha chinja au sio kila Ng'ombe anakuwa nazo? Click to expand... katika ng'ombe 100 labda 2
PROF NDUMILAKUWILI said: Kwanini usiende machichioni utapata nyingi wakisha chinja au sio kila Ng'ombe anakuwa nazo? Click to expand... katika ng'ombe 100 labda 2
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,516 Reaction score 13,270 Jul 23, 2021 #5 Hazchem plate said: katika ng'ombe 100 labda 2 Click to expand... Hapo nimekupata.