Tunanua asali kwa bei ya jumla

Tunanua asali kwa bei ya jumla

Joined
Apr 3, 2013
Posts
73
Reaction score
11
Tunanunua asali kwa bei ya jumla sisi ni wanunuzi tunaonunua asali kwa bei nzuri sana kuliko wengine wote tanzania. Kwa sasa tunanunua kuanzia lita ishirini mpaka lita mia moja kwa mkupuo vijana changamkieni fulsa hii.

Hata kama umemaliza chuo huna kazi huna mtaji ila una uwezo wa kwenda pande zote zinazozalisha asali tanzania na ukakusanya. Basi wasiliana nasi utaanza kwa kusanya kwa mkopo halafu ukijakuuza utapata pesa zako zote na kuwalipa hao uliokopa kwao.

Tabora huko, masasi, njombe, iringa, dodoma, singida na kwingineko tunahitaji asali yenu mtumie mwenzio habari hii aweze kufaidika nayo kupata mawasiliano yetu bonyeza link ifuatayo huduma poa: contacts " asali ni dili fuga nyuki utajirike.
 
Back
Top Bottom