Asiyejua maana haambiwi maanaHayo matukio ya nyuma hayatoi uhalali kwa matukio ya sasa, awamu zote watu walilalamika sana tu .
Kwahiyo yote hayo yanafanya na chama cha mapinduzi siku laumu kumbe kila anae kaa madarakani anafuata ilani ya chamaWana jamvi,
Kuna baadhi ya mambo baadhi ya watu wamekuwa kama programmed kudiss tu.
Watu wanavyodhulumu mdiss Magufuli na kumpa character assassination inasikitisha sana.
Watu wanasema awamu hii watu wanatekwa sana Magufuli dictator.
Niwakumbushe tu, Dr. Ulimboka aling'olewa meno awamu ya ngapi?
Kiongozi wa vijana wa JKT waliondamana akaokotwa Kibaha msituni alitupwa huko awamu ya ngapi?
Mwandishi Mwangosi alilipuliwa na mabomu awamu ya ngapi?
Zanzibar 2001 watu walipigwa na mwembechai pale pia hii ilikuwa awamu ya tano?
Arusha Chadema walirushiwa mabomu kwenye mkutano wao, je hii ilikuwa awamu ya ngapi?
Je, kwanini watu hawakuwaita marais wa muda huo madictator?
Kimsingi inabidi tuweke kumbukumbu sawa, Rais alaumiwe kwa mambo mengine lakini sio haya.
Ukiona mtu kashikia bango neno dikteta ujue alikuwa mpigaji awamu zilizopita sasa hasira anazimalizia kwa kujifariji.Wana jamvi,
Kuna baadhi ya mambo baadhi ya watu wamekuwa kama programmed kudiss tu.
Watu wanavyodhulumu mdiss Magufuli na kumpa character assassination inasikitisha sana.
Watu wanasema awamu hii watu wanatekwa sana Magufuli dictator.
Niwakumbushe tu, Dr. Ulimboka aling'olewa meno awamu ya ngapi?
Kiongozi wa vijana wa JKT waliondamana akaokotwa Kibaha msituni alitupwa huko awamu ya ngapi?
Mwandishi Mwangosi alilipuliwa na mabomu awamu ya ngapi?
Zanzibar 2001 watu walipigwa na mwembechai pale pia hii ilikuwa awamu ya tano?
Arusha Chadema walirushiwa mabomu kwenye mkutano wao, je hii ilikuwa awamu ya ngapi?
Je, kwanini watu hawakuwaita marais wa muda huo madictator?
Kimsingi inabidi tuweke kumbukumbu sawa, Rais alaumiwe kwa mambo mengine lakini sio haya.
Ngosha ni mpambanaji wa hali ya juu sasa waliozoea maisha ya kimwinyi ni lazima walichukie hili gwaride la awamu ya tano.Makamanda wamesahau kuwa 2012 walikufa watu kibao kwenye maandamano Arusha
We kenge wa Lumumba huu wimbo ulishachachà kitamboUkiona mtu kashikia bango neno dikteta ujue alikuwa mpigaji awamu zilizopita sasa hasira anazimalizia kwa kujifariji.
Hata Baba wa Taifa alifanya unyama mwingi tu. Wenye umri fulani watalikumbuka lile jengo jekundu pale mambo ya ndani ambalo limeupa mgongo ukuta wa YMCA.
Mimi Baba yako huoni kama wewe ni kenge mdogo.We kenge wa Lumumba huu wimbo ulishachachà kitambo
We kibwengu unawaza kuua watu tu huna hoja unapuyanga puyanga tu. pumbavu huna loloteMimi Baba yako huoni kama wewe ni kenge mdogo.
Hakuna rais wa Afrika anayeweza kuingia mpaka akamaliza muda wake pasipo kufanya tukio la kinyama.
Hata Lowassa mpaka muda huu kuna watu wangekuwa wameshaumia.
Huo ndio uhalisia wa mambo. Wanauwawa watu kwa Trump Marekani sembuse bongoland.We kibwengu unawaza kuua watu tu huna hoja unapuyanga puyanga tu. pumbavu huna lolote
Sawa BashiteHuo ndio uhalisia wa mambo. Wanauwawa watu kwa Trump Marekani sembuse bongoland.