Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Hapana ni stan bakoraNi yule Mkude Simba?[emoji1787]
Huyu mzee hana lolote, amepata sifa kwa kubahatisha tuu hana tofauti na mtu ale BET.Kule Kigoma kwa kauli ya mzee mpili mwenyewe anasema Nyuklia zitakuwa zakutosha.
Amebahatisha kitu gani? Yaani wewe nawe kwa akili zako timamu, unaamini Yanga wameshinda kwasababu ya huyo mzee? Kuna uthibitisho upi ukionesha hilo zaidi ya porojo tu zake za kuongea ili kutafuta umaarufu kipiitia derby?Huyu mzee hana lolote, amepata sifa kwa kubahatisha tuu hana tofauti na mtu ale BET.
Huu umaarufu utakwisha kwa haraka kama Dr. Shika
Hapana ni stan bakora
Yes ni mtovu wa nidhamu lakini tunamuhitaji kwenye mechi ya fainali ya FA tarehe 25/7/2021 huko Kigoma.
Mkude anajua kucheza hizi mechi za Derby ya Kariakoo ukilinganisha na hawa wachezaji wa kigeni ambao hawajuwi maudhi ya kufungwa kwenye Derby na huuchukulia mchezo huo ni kama mechi tu ya kawaida.
Derby kubwa sio asili yao na kejeli na utani mitaani hawavijui na wenyewe wanachojali ni kulipwa tu kitita chao wasepe. Wachezaji wazawa ndio wanaelewa maana ya Derby na utakuta upenzi wao wa vilabu hivi umerithishwa kama sisi wengine.
Naongea hivi nikitambua kuwa kwenye derby Mkude hujitoa kwa asilimia 100 na hivyo apewe third chance na final ili atoe mchango wake kwenye mechi hiyo.
Bottom line suala la nidhamu kwa wachezaji liko pale pale na Simba ni kubwa kuliko mtu yeyote iwe mchezaji, kocha, mpenzi na hata mdhamini.
FREE MKUDE NOW.
Mkude mwenyewe ameshajikatia tamaa ya kucheza mpira,ameamua kujinywe zake konyagi,kuvuta ndumu na kujirusha na mijimama iliyosheheni makalio.Yes ni mtovu wa nidhamu lakini tunamuhitaji kwenye mechi ya fainali ya FA tarehe 25/7/2021 huko Kigoma.
Mkude anajua kucheza hizi mechi za Derby ya Kariakoo ukilinganisha na hawa wachezaji wa kigeni ambao hawajuwi maudhi ya kufungwa kwenye Derby na huuchukulia mchezo huo ni kama mechi tu ya kawaida.
Derby kubwa sio asili yao na kejeli na utani mitaani hawavijui na wenyewe wanachojali ni kulipwa tu kitita chao wasepe. Wachezaji wazawa ndio wanaelewa maana ya Derby na utakuta upenzi wao wa vilabu hivi umerithishwa kama sisi wengine.
Naongea hivi nikitambua kuwa kwenye derby Mkude hujitoa kwa asilimia 100 na hivyo apewe third chance na final ili atoe mchango wake kwenye mechi hiyo.
Bottom line suala la nidhamu kwa wachezaji liko pale pale na Simba ni kubwa kuliko mtu yeyote iwe mchezaji, kocha, mpenzi na hata mdhamini.
FREE MKUDE NOW.
tena Mkude alisababisha faulo, huyu atakuwa utopolo anajifanya Simba.Mechi ya msimu uliopita ambayo Simba ilifungwa na Yanga bao 1 kwa 0 (Goli la Morisson) Mkude alicheza, hii unaizungumziaje mkuu ukiwianisha na huu uzi wako ?
Mkude kasaini yangaYes ni mtovu wa nidhamu lakini tunamuhitaji kwenye mechi ya fainali ya FA tarehe 25/7/2021 huko Kigoma.