youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,638
- 3,641
Tunamsaidiaje huyu mfanyabiashara?
Ni tweet kutoka kwa Vanessa Temba inayozungumzia ugumu wa maisha ya ujasiriamali/biashara. Anaeleza kwa njia ya uhalisia na hisia kuwa:
->Unaamka asubuhi hujui kama utaweza kuuza chochote.
->Hujui kama utapata pesa ya kurejesha madeni.
->Kuna wasiwasi na sintofahamu na kodi za kila siku.
Anakazia kuwa "Business is not for the weak," yaani biashara siyo ya watu dhaifu - inahitaji moyo, uvumilivu, na uthubutu.
Maisha ya wafanyabiashara yana changamoto sana, lakini kuna njia rahisi za kuondoa hizo changamoto.
Soma hapa….
Hizi hapa njia 6 za kukusaidia kupata wateja wengi online:
✅ Content
✅ Paid Ads
✅ WhatsApp Marketing
✅ Influencer Marketing
✅ Social Media Outreach
✅ Marketplaces (FB, IG, TikTok)
Nitakuelekeza jinsi zinavyofanya kazi 👇🏾..
Watu hununua kutoka kwa mtu wanaomuamini au wanamuona kila siku.
✅Andika kuhusu matatizo ya wateja wako
✅ Toa sulution
✅ Onyesha mafanikio ya wateja waliopita (Shuhuda)
✅ Elimisha - usiuze tu kwa kuwalazimisha
Post na tengeneza content nyingi kila siku, zipost kila sehemu.
2. Badala ya kusubiri mteja apite dukani au je mwenyewe inbox, tumia Matangazo ya Kulipia (Paid Ads) kufuata wateja wako popote walipo:
✅ Facebook Ads
✅ Instagram Ads
✅ TikTok Ads
✅ Google Ads
Paid Ads zinakusaidia:
🚀 Kufikia watu wengi mara moja
🎯 Kulenga watu sahihi (wenye shida unayotatua)
📈 Kuleta watu kwenye duka lako
📊 Kupima aina gani ya post inaleta matokeo zaidi
Unaweza kuanza hata kwa TZS 5,000 kwa siku.
3. WhatsApp Marketing.
Jinsi ya kutumia vizuri:
✅ Kusanya namba (kutoka ads, bio, au DM)
✅ Weka watu kwenye broadcast au post status
✅ Post content kila siku
✅ Wafundishe watu kwa kutoa elimu kupitia whatsappp status
4. Influencer Marketing
✅ Tafuta watu wenye followers wengi (wasiwe feki)
✅ Waambie wafanye review, testimoni au waeleze huduma zako
✅ Wape ofa au commission kwa kila mteja wanaoletea
5. Social Media Outreach
✅ Comment kwenye post za wengine
✅ Tuma DM
✅ Jibu maswali ya watu kwenye niche yako
Ukimkosa mteja kupitia Ads - umpate kupitia Content
❌ Ukimkosa kwenye DM - umpate kupitia Status
❌ Ukimkosa leo - umpate kesho kupitia Outreach
➡️ Keep trying until you get something that works for you.
Hutakiwi kukaa dukani kusubiri wateja wje wenyewe, jitahidi kuwa mbunifu kwa kujaribu njia mbalimbali za kupata wateja
6. Kama Hujui Wapi Pa Kuanza, Tuko Hapa Kukusaidia
✅ Tunafanya Paid Ads kwa biashara na watu binafsi
✅ Tunafundisha Paid Ads kwa bei rafiki
Huduma zetu ni kupitia Victoria Agency.
📲 WhatsApp: Share on WhatsApp
👉 Tuma neno "ADS" tukupe muongozo