D Darwin JF-Expert Member May 14, 2008 908 56 Feb 27, 2011 #1 Nilikua naangalia vids kutoka kenya mara nikaikuta hii. Hii sio orijinal komedi YouTube - mambo ya mombasa kenya (ushoga)
Nilikua naangalia vids kutoka kenya mara nikaikuta hii. Hii sio orijinal komedi YouTube - mambo ya mombasa kenya (ushoga)
PakaJimmy JF-Expert Member Apr 29, 2009 16,203 8,725 Feb 27, 2011 #2 Dunia inaelekea kunako uharibifu!...soon and very soon!
Keren_Happuch JF-Expert Member Jan 14, 2011 1,874 935 Feb 27, 2011 #3 Sorry Darwin...najua hujaiweka tucheke, ila nimecheka kwa kweli! huyo jamaa alivyojiremba...LOL! Hizi ndo siku za mwisho zilizonenwa!
Sorry Darwin...najua hujaiweka tucheke, ila nimecheka kwa kweli! huyo jamaa alivyojiremba...LOL! Hizi ndo siku za mwisho zilizonenwa!
D Darwin JF-Expert Member May 14, 2008 908 56 Feb 27, 2011 Thread starter #4 Keren_Happuch said: Sorry Darwin...najua hujaiweka tucheke, ila nimecheka kwa kweli! huyo jamaa alivyojiremba...LOL! Hizi ndo siku za mwisho zilizonenwa! Click to expand... Huyo wa mwisho anasema TUMEAMUA KUJIUZA MPAKA DAKIKA YA MWISHO. Mwanaume anayenunua huyo na kuna warembo wa kike kibao labda ana ugonjwa wa akili au kipofu.
Keren_Happuch said: Sorry Darwin...najua hujaiweka tucheke, ila nimecheka kwa kweli! huyo jamaa alivyojiremba...LOL! Hizi ndo siku za mwisho zilizonenwa! Click to expand... Huyo wa mwisho anasema TUMEAMUA KUJIUZA MPAKA DAKIKA YA MWISHO. Mwanaume anayenunua huyo na kuna warembo wa kike kibao labda ana ugonjwa wa akili au kipofu.