thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,454
- 1,436
Mkuu umeandika kweli tena kwa hisia..na tena tunaoangamia ni sisi vijana kwa kukosa maarifa..wengi tuna elimu lakini hatuna maarifa,adui kauteka ufahamu,.tumejawa na upumbavu,ujuaji mwingi,kujifanya"don't care",majivuno,uzungu mwingi ilihali tunaishi kwenye "jumba bovu"
Wengi ni "mifupa mikavu" na haitaki kuishi tena imeng'ang'ana na mizaha huku inateketea..kutokujua pia nini unataka nayo ni shida.
Sijui kwanini thread tamu namna hii ni mimi peke yangu nimeigongea LIKE.Habarini JF,
Swala la kudumu katika mahusiano limekuwa tatizo Sana kwa dunia ya Leo na wengi wamekata tamaa na kufanya maamuzi ambayo sio ya kujenga Bali yanaharibu taswira yake katika jamii inayomzunguka.
Wengi wanachukulia kawaida lakini ni jambo ambalo linatakiwa lipatiwe ufumbuzi ili kuokoa vizazi vinavyokuja.
Dunia ya Leo watu wenye umri chini ya miaka 18 wanajihusisha na mahusiano ya mapenzi ambapo mpaka anafika age ya under 25 tayari anakuwa ameshapitia changamoto nyingi ambazo wengine huishia kujiua na wengine kukata tamaa kabisa ya maisha.
Dunia ya Leo invavishawishi vingi kila kitu kipo mtandaoni na huwezi kumpangia MTU kutumia simu na kupitia hii hali picha za ngono zinaangaliwa for free kwa asilimia kubwa Sana wadogo kwa wakubwa, mwisho wa siku ushawishi unakuwa mkubwa na watu kujiingiza katika maadili yasiyoendana na Jamii inayomzunguka.
Kuna sakata la kujianika mitandaoni na kuonyesha uchafu unaofanyika Kati ya wapenzi wawili, yaani sijui kwanini watu wanafanya hizi drama halafu baadaye unasikia Mara simu ya mpenzi wangu iliibiwa sijui ,, hivi kwani ni lazima watu mnavyokuwa faragha mjichukuwe video? Unapata faida gani? Sijui tunakwama wapi kwa kweli na aliyetologa nahisi na yy alilogwa.
Swala LA kudanga, Leo upo na huyu kesho upo na huyu na hapa sio kwa wakike tu hadi wanaume pia isee, hivi huwa tunatafuta nini hasa inashindikana nini kuwa katika mahusiono yakudumu? Yah wakati mwingine tunamsingizia shetani sawa inatokea umechepuka labda kwa tamaa ya kitu Fulani lakini kwanini usitulie sehemu moja kwanini kila siku tamaa ikutawale ifike mahali tujizuie na hizi tamaa maana mwisho wa siku thamani ya mwili wako ndo unaporomoka na itafiki kipindi hutakuwa na thamani tena.
Kikawaida kwenye mahusiano kuna milima na mabonde hili halikwepeki, mfano hata mm nimeshakuwa katika mahusiano mpaka sasa nipo na MTU niliyeanza naye mahusiano kutoka 2013 mpaka sasa ninaye na Kama kugombana tumegombana, tukasusiana zaidi ya hata mwaka lakini mwisho wa siku watu mnakaa chino mnamaliza tofauti zenu mnaendelea na maisha.
Mapenzi yasiku hizi yametawaliwa na PESA, bila pesa ujue unatakiwa ujipange lakini hebu tujiulize mababu na mabibi zetu enzi hizo waliwezaje kudumu katika mahusiano maana pesa zilikuwepo lakini kwa system iliyopo sasa zamani haikuwepo. PESA ni Shetani tena ni Pepo chafu Sana linatakiwa likemewe kwa hali ya juu.
Watu wamejengea kuwa mahusiano ni kufanya mapenzi na kushikana shikana tu, lakini swala LA kufanya mapenzi sehemu tu ya burudani ambayo inafanywa kwa dakika chache na linapita, lakini kuna mambo ya kuhusishana ya kimaendeleo ambayo yanaweza kujenga maisha ya sasa na ya baadaye kwa kizazi na kizazi.
Ukiamua kumpenda MTU mpende maana hujui kesho yake itakuaje Leo anaweza akawa anapesa kesho asiwe nazo, au Leo anaweza asiwenazo kesho akawa nazo kwa hiyo maisha tunayopitia kuna kupanda na kushuka,
Kumshirikisha Muumba wako pia ni jambo jema kwani yeye ndiye aijuaye kesho yetu na yy ndiye awezaye kutupatia wenza watakao weza kukidhi mioyo yetu na kuleta faraja katika familia...asante kwa kusoma na ruksa kunikosoa pale nilipokosea
Poleni sana vijana kwa kukosa maarifa...Mkuu umeandika kweli tena kwa hisia..na tena tunaoangamia ni sisi vijana kwa kukosa maarifa..wengi tuna elimu lakini hatuna maarifa,adui kauteka ufahamu,.tumejawa na upumbavu,ujuaji mwingi,kujifanya"don't care",majivuno,uzungu mwingi ilihali tunaishi kwenye "jumba bovu"
Wengi ni "mifupa mikavu" na haitaki kuishi tena imeng'ang'ana na mizaha huku inateketea..kutokujua pia nini unataka nayo ni shida.
Sijaumaliza mkeka wako, maana ni mrefu mno ila naweza changia chochote kwa nilivyokuelewa....
The more you know the more you suffer...
And we really know more, let's suffer mkuu, no way out.
Even our presidaa pretends to know more that's why.....
Hahhahah babuuuu...nimeona utam wenu wazee,.sibanduki ng'oo😂Poleni sana vijana kwa kukosa maarifa...
Karibuni kwa wazee tuwamiminie hazina ya maarifa na hekima
haujaanza vibaya saana, ila umemaliza vibaya
some time iache teknologia ifanye kazi yake
hivi mleta mada we unaweza ukapanga maisha na wanawake wa kileo au mzuka ndo umekupelekea kuandika bila kufikiri
Yawezekana kukosa kwetu maarifa kumetufanya tusi-like teh tehSijui kwanini thread tamu namna hii ni mimi peke yangu nimeigongea LIKE.
Dah!
Basi na "ukuye" tukumiminie barka na neema zetu...Hahhahah babuuuu...nimeona utam wenu wazee,.sibanduki ng'oo😂
Na kwanini mmeamua kukosa maarifa sasa???Yawezekana kukosa kwetu maarifa kumetufanya tusi-like teh teh
Mahusiano ya bongo full of drama hasa kwa vijana...mtu anaona sifa kuwa na watu lundo kwa wakati mmoja..mm nakwambia hivii vijana wengi wa kibongo hawana raha na furaha katika mahusiano yao...wapo ku show off tuu...wana act wanafuraha ila mioyo yao ina kutu takatifu😂😂Yani tulivyo wapumbavu tunajifanya Tunaiga wazungu wakati wazungu wao wapo serious saana na Relationship zao hawana Mamichepuko cjui kudanga cjui kibamia hizo pumba kwao hamna kabisa sasa sisi cjui tunaiga wazungu gani? Mahusiano ya Kibongo bongo kama wanyama vile unakuta demu ana wanaume si chini ya wanne na msela nae ana mademu si chini ya watano unadhani hapo kuna nn tena?
Yawezekana tatizo ni ule mchele uliokuwa haufai...Na kwanini mmeamua kukosa maarifa sasa???
Babu nimesha "kuya" mimi...😊Basi na "ukuye" tukumiminie barka na neema zetu...
Na ukuye, ukuye.... kuya mjukuu ule vinono vya makondeni mwetu
Dah... basi kuleni matunda na maziwa kwa wingi sana...Yawezekana tatizo ni ule mchele uliokuwa haufai...
Mbona mi hapana ona wewe kwa PM?Babu nimesha "kuya" mimi...😊
Kweli kabisa mkuu, kuna watu wanateketea kwa ndani lakini ukiwaangalia kwa nje unaweza ukawaonea wivu ukidhani wananufaika hasa huko ku-show off kwao huko.Mahusiano ya bongo full of drama hasa kwa vijana...mtu anaona sifa kuwa na watu lundo kwa wakati mmoja..mm nakwambia hivii vijana wengi wa kibongo hawana raha na furaha katika mahusiano yao...wapo ku show off tuu...wana act wanafuraha ila mioyo yao ina kutu takatifu😂😂
Nimekuja nimeona bi mkubwa anafagia uwanja nimejibanza hapa kwenye mkorosho,.akitoka tuu......utafurahia shoo sugar babuMbona mi hapana ona wewe kwa PM?