Tunakoelekea

Mtindo huu sijui ndo unaitwaje?
 
nancy alipotoka kuoga aliingia moja kwa moja chumbani kwake huku akiwa amevaa kanga moja tu, kabla hajafanya kitu alisikia mlango unagongwa haraka alienda kufungua alishangaa sana kumuona rafiki yake Benja ambae alimjua ni kipofu lakini hakumuona kwa wiki tatu. Kwa furaha alimkaribisha ndani na kumpa kiti.Kwa kuwa alijua Benja ni kipofu hakuwa na shida ya kujificha alimwacha kwenye kiti yeye akavua kanga na kuinama upange tofauti na wa Benja na kuacha makalio yake mbele ya Benja akiwa anapaka mafuta miguuni.
Story ziliendelea Nancy akamuuliza Benja mbona sijakuona muda mrefu? Benja akajibu kwa furaha, "nilipata udhamini nikaenda India kutibiwa macho, na sasa namshukuru Mungu naona vizuri tu.
Je, kama wewe ndio ungekuwa Nancy, ungefanyaje?
 

Acha ujinga ww mbuzi kila uzi unaweka huu ujinga wako pumbafu kabisaa

Nafikiri nyuzi zimeingiliana hiyo hutokea sana JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…