Mpendakukimbiakimbia
Senior Member
- May 18, 2018
- 151
- 274
Kila dalili zinaonesha tunaingia kwenye socialist ecomic system ambayo inaua uchumi. Baadhi ya disadvantages za socialist au comand au plannd economy ni zifuatazo.
1. No political freedom
2. Slow envestments and slow economic growth
3. No individual initiatives
4. No interaction of economic variables nk
Hii inatokana na kwamba sasa hivi matamko ndo yanaongoza uchumi hivyo hata wale wawekezaji wachache waliotaka kuwekeza wataogopa mana lolote linaweza kutokea na hii nimbaya sana inaitwa risk kwa mwekezaji. Hamna mtu ambaye atakuwa inovative tena mana unaweza kupotzwa. Hakutakuwa na mzunguko mzuri wa pesa na comfities yaan velocity of currency na transaction vitapungua which will eventually give rise to prive hence hype inflation. Sasa hivi tunaenjoy mfuko wa bei kupungua lakini ni at the expnse of people. Mbayw zaidi ni kwamba badala ya kusarpot watu wakue kibiashara serikali inafunga na kudiscourage kabisa kwa kigezo kwamba ni wezi. Ajira zimepungua ambapo consumption level inakeenda chini sikuhadi siku. Throgh paradox of thrift hata saving inakwenda chini maana yake ni kwamba baada ya mwaka au miwili hivi mabenk yatakosa ukwasi na kujifunga automatically.
Kwa wachumi wamenielewa. Ni hayo tu kwa leo nitaendela kutoa somo