Tunajifunza Uzalendo

gstar

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2011
Posts
826
Reaction score
1,525
Ni sisi tulio maliza form six ambao tunategemea kujiunga na vyuo tuko jeshini tunajifunza uzalendo.
 

Attachments

  • 1405431906997.jpg
    25.1 KB · Views: 268
Uzalendo unafundishwa only in Tanzania
 
Uzalendo ni pamoja na physical fitness ambao ni muhimu katika ulinzi wa hili taifa.

Morali tu!!
 
nina mashaka na hili suala la kufundishwa uzalendo!
 
Jeshini baba hamna kuremba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…