Da Sophy hebu at least nionyeshe mkia WA habari yako hii nzuri maana kichwa sikioni. Kiuno ndio kama vile kipo
Kwani wewe ulikuwa unatakaje? Au ulitaka akujengee wewe??? Je, ni nani warithi wenu kama siyo wanenu???Baba watoto wangu kawajengea wanawe nyumba Sakina. Nyumba ya biashara. Namwombea Allah amzidishie upendo huo kwa wanawe.
Anawajengea wanae, msianze kuninanga mkaniharibia swaum yangu bure. Mi ninazo nyumba zangu nimejenga tangu kabla hatujafikishana hapa, moja naishi na wanangu nyingine ninapangisha. Hii nnayosema kaamua mwenyewe kuwajengea wanae kasema ipangishwe hiyo pesa isomeshe wanae. Na sijatia hata senti yangu, hapa namsubiri ofisini kwake kaenda Tanesco kufatilizia barua ya umeme. Huyu ndo mwanaume bwana.

uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mbavu zangu mie ndo maana nisipoingia jf naugua loo.
Haya naona mnashindana na Zahra White.
Halafu eti nijute kuijua jf sijajuta na sitojutaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kwani wewe ulikuwa unatakaje? Au ulitaka akujengee wewe??? Je, ni nani warithi wenu kama siyo wanenu???