Kwetu farm solutions
Member
- Oct 26, 2016
- 24
- 14
Mkuu, bei inaamuliwa na idadi ya samaki au Kuku ambao huamua ukubwa wa banda au bwawa linalojengwa.Being mkuu muhimu tujipime kama tunaweza kumudu
Mahali popote tanzania hii or kwa specific location tu.Habari gani wakuu?
Tungependa kuwataarifu kuwa suluhisho la ujenzi wa mabwawa ya samaki na mabanda ya kisasa ya kuku limepatikana.
Tunajenga mabwawa ya samaki ya aina zote kuanzia ya mawe, matofali, zege na ya kutumia sheets maalum pia kwa gharama nafuu sana. Pia tunatoa ushauri juu ya ufugaji bora wa samaki,urutubishaji na uandaaji wa chakula cha samaki. Tunaweza kujenga bwawa katika eneo lolote,iwe bondeni, karibu na mto, kwenye mfinyanzi, kwenye mchanga , penye udongo mgumu n.k
Kwa upande wa mabanda ya kuku, tunajenga ya kuku wa mayai, ya kuku wa nyama, ya kuku wa kienyeji ya nusu huria na hata yale ya huria pia. Tunao uwezo wa kujenga mabanda kwa mbao, hydroform, na matofali ya kawaida.
Wenye kuhitaji huduma zetu mnaweza kutupata kwenye namba: 0746060789 na tutawahudumia.
Asanteni sana.
Habari gani wakuu?

Ni Tanzania yote mradi iwe sehemu inayofikika na watu.Mahali popote tanzania hii or kwa specific location tu.
Itakuwa vizur sana ukitimiza hili ombiMkuu ungeweka picha ya hayo mabanda na mabwawa
Pia bei ingekuwa poa ungeiweka kulingana na hiyo idad kama ulivyoeleza hapo juu
MWAGA BEI ELEKEZI..Habari gani wakuu?
Tungependa kuwataarifu kuwa suluhisho la ujenzi wa mabwawa ya samaki na mabanda ya kisasa ya kuku limepatikana.
Tunajenga mabwawa ya samaki ya aina zote kuanzia ya mawe, matofali, zege na ya kutumia sheets maalum pia kwa gharama nafuu sana. Pia tunatoa ushauri juu ya ufugaji bora wa samaki,urutubishaji na uandaaji wa chakula cha samaki. Tunaweza kujenga bwawa katika eneo lolote,iwe bondeni, karibu na mto, kwenye mfinyanzi, kwenye mchanga , penye udongo mgumu n.k
Kwa upande wa mabanda ya kuku, tunajenga ya kuku wa mayai, ya kuku wa nyama, ya kuku wa kienyeji ya nusu huria na hata yale ya huria pia. Tunao uwezo wa kujenga mabanda kwa mbao, hydroform, na matofali ya kawaida.
Wenye kuhitaji huduma zetu mnaweza kutupata kwenye namba: 0746060789 na tutawahudumia.
Asanteni sana.
Hii siyo topic ya leo Mkuu, inakaribia miezi sita saba sasa, si kila siku tunakagua thread zetu za zamani labda kama uki PM.Jamaa kaleta tangazo halafu kakimbia
Ni vyema mkijibu maswali ya watu hapa jamvini maana ndio nyingine nzuri ya kuwapa watu taarifa za uhakikaHii siyo topic ya leo Mkuu, inakaribia miezi sita saba sasa, si kila siku tunakagua thread zetu za zamani labda kama uki PM.
Sawa,umeeleweka. Tutajitahidi kuyafanyia kazi maoni yako!Ni vyema mkijibu maswali ya watu hapa jamvini maana ndio nyingine nzuri ya kuwapa watu taarifa za uhakika
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app