Habari gani wakuu?
Tungependa kuwataarifu kuwa suluhisho la ujenzi wa mabwawa ya samaki na mabanda ya kisasa ya kuku limepatikana.
Tunajenga mabwawa ya samaki ya aina zote kuanzia ya mawe, matofali, zege na ya kutumia sheets maalum pia kwa gharama nafuu sana. Pia tunatoa ushauri juu ya ufugaji bora wa samaki,urutubishaji na uandaaji wa chakula cha samaki. Tunaweza kujenga bwawa katika eneo lolote,iwe bondeni, karibu na mto, kwenye mfinyanzi, kwenye mchanga , penye udongo mgumu n.k
Kwa upande wa mabanda ya kuku, tunajenga ya kuku wa mayai, ya kuku wa nyama, ya kuku wa kienyeji ya nusu huria na hata yale ya huria pia. Tunao uwezo wa kujenga mabanda kwa mbao, hydroform, na matofali ya kawaida.
Wenye kuhitaji huduma zetu mnaweza kutupata kwenye namba: 0746060789 na tutawahudumia.
Asanteni sana.