Hahaha.. Bado unaendelea kuwaita watu maskini?,huku ukishinda kwenye mitandao ya kijamii masaa 24?, Mkuu nina uhakika % kubwa wewe limbukeni, huna exposure yoyote hata passport huna, ni wale watu mnaojua yaliyowazunguka tu.Halafu uwezo wako wa kung'amua mambo ni mdogo Sana.Umejawa na ushabiki wa kipumbavu tu.Nitaendelea kukuelimisha ili uwe unapitia hata Google ujue kuwa hakuna tajiri yoyote duniani utamkuta anashinda Kwenye mitandao ya kijamii masaa 24 hata mmoja.Narudia HAYUPO!!., Wewe ni FALA mmoja tu hapo uswahilini kwenu wanakusifia na Altezza yako ya zamani au BREVIS magari ya kizamani na wewe unavimba kichwa.