Tunaibiwa sana

Siku hizi Hakuna kazi ngumu Kama kupata 'Kuku wa Kienyeji' wa kutafuna maana wote wame editiwa
 
Serves you right!!! Sasa akija mkavu si hamumtongoziii!!!
 
These people are hard to define. Unakuta mtu nywele feki, kope feki, ngozi feki, kucha feki, matiti feki, makalio feki, sijui ni kipi kilicho wazi ambacho ni natural.
 
Wenyewe wajipodoe tu haina shida ila tutakua tuwaacha stend haiwezekani naenda stend kukupokea nakukuta sura kama nyani kumbe ulikua unatuma picha za make up
 
Haa paprika mwanamke sura tabia nitamnyoosha
Samaki mkunje angari mbichi!!! Mtu kashafikia umri wa kuolewa unadhani utamnyoosha tabia? Zaidi ataficha makucha tu ila ipo siku atayatoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…