Dr.Swillah
Member
- Dec 29, 2013
- 80
- 32
Upo usemi kuwa dawa nzuri ni chungu.Pi eti watawala hupenda kutawala vwananchi wajinga.Kwa Afrika hii ni kwaida sana hasa pale ambapo mtu huingia madarakani akiwa amezungukwa na wapambe kibao sasa ili waambulie ukoko wanafanya kazi ya kumjaza sifa usiku na mchana.....This is lack of patriotism and sense of Nationality....Kwa hali ilivyo kwa sasa tunahitaji watu kama hawa 1000.ili angalau kidogo kuwe na kaahueni kidogo.Tunahitaji mawazo na mitazamo mbadala ili mambo yaende!.