Wasalaam wana bodi .
Kwa yanayoendelea ni wazi kabisa wanaoongoza upinzani wanapaswa kujichunguza kama wanatosha kwenye hivyo Viti Ama lah! Vyama vya upinzani Tanzania ni legelege sana havina focus na havijui vinataka nini haviongozwi kimkakati vimekuwa vyama vya harakati na sio siasa ndio maana chama kikongwe Ccm kiwafanya kitakavyo maana ni chama kinachojua siasa na kinaongozwa kimkakati.
#ni bora kuendelea na Ccm kuliko kupoteza muda na upinzani legelege usiojua unaelekea wapi.
Sent using
Jamii Forums mobile app