Tunahitaji upinzani Wa kweli

mbavu nene

Senior Member
Nov 17, 2012
102
85
Wasalaam wana bodi .

Kwa yanayoendelea ni wazi kabisa wanaoongoza upinzani wanapaswa kujichunguza kama wanatosha kwenye hivyo Viti Ama lah! Vyama vya upinzani Tanzania ni legelege sana havina focus na havijui vinataka nini haviongozwi kimkakati vimekuwa vyama vya harakati na sio siasa ndio maana chama kikongwe Ccm kiwafanya kitakavyo maana ni chama kinachojua siasa na kinaongozwa kimkakati.

#ni bora kuendelea na Ccm kuliko kupoteza muda na upinzani legelege usiojua unaelekea wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana hujui unaloongea umeshaleaa pombe za kienyeji saa hii unacheua upuuzi tu. Hakuna ccm bali kuna nguvu ya dola ndani ya ccm na wala sio chama cha siasa.
 
  • Thanks
Reactions: prs

Nadhani unaota au umelewa gongo. Matukio ya wanachama kuhama hukiimarisha chama zaidi. Lowasa ameona malengo yake hayawezi kutimia na umri umemtupa mkono. Kurudi CCM Si ajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana hujui unaloongea umeshaleaa pombe za kienyeji saa hii unacheua upuuzi tu. Hakuna ccm bali kuna nguvu ya dola ndani ya ccm na wala sio chama cha siasa.
Sijalewa tu ila nachojaribu kuwaza bado Tz hakuna upinzani ni wahuni wahuni tu wanachezea akili za watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani unaota au umelewa gongo. Matukio ya wanachama kuhama hukiimarisha chama zaidi. Lowasa ameona malengo yake hayawezi kutimia na umri umemtupa mkono. Kurudi CCM Si ajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ajabu but what I'm talking about is the weakness of opposition they are not stable to stand alone hawajui wanataka nini ndio maana wanahangaika hangaika by the way lowasa hajawahi kuwa mpinzani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalaam wana bodi .

Kwa yanayoendelea ni wazi kabisa wanaoongoza upinzani wanapaswa kujichunguza kama wanatosha kwenye hivyo Viti Ama lah! Vyama vya upinzani Tanzania ni legelege sana havina focus na havijui vinataka nini haviongozwi kimkakati vimekuwa vyama vya harakati na sio siasa ndio maana chama kikongwe Ccm kiwafanya kitakavyo maana ni chama kinachojua siasa na kinaongozwa kimkakati.

#ni bora kuendelea na Ccm kuliko kupoteza muda na upinzani legelege usiojua unaelekea wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Freeman Mbowe must step down to allow the oppostion party(CHADEMA) to take off! - JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasiasa wa upinzani tulionao ndio hao ,sasa cha msingi hivi sasa vijana wasomi ni wengi , waingie kwenye siasa kuikomboa hii nchi tusiwaachie wakongwe tu ,tunahitaji na sura mpya zitakazoleta mawazo ,fikra ,mbinu ,na mikakati mbadala .
 
Wasalaam wana bodi .

Kwa yanayoendelea ni wazi kabisa wanaoongoza upinzani wanapaswa kujichunguza kama wanatosha kwenye hivyo Viti Ama lah! Vyama vya upinzani Tanzania ni legelege sana havina focus na havijui vinataka nini haviongozwi kimkakati vimekuwa vyama vya harakati na sio siasa ndio maana chama kikongwe Ccm kiwafanya kitakavyo maana ni chama kinachojua siasa na kinaongozwa kimkakati.

#ni bora kuendelea na Ccm kuliko kupoteza muda na upinzani legelege usiojua unaelekea wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Brother you are on drugs kabisa!

I"m sorry to say that!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom