and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,411
- 40,103
PhD siyo kipimo tosha...
Kikwete alikuwa na PhD ngapi?naimani hutajibu maana.....Tanzania kwa mara nyingine itavunja rekodi Afrika nzima kwa kuwa na Raisi msomi wa ngazi wa shahada ya uzamivu ya Kemia(PhD in Chemistry) tena asie FISADI. UKAWA jiandaeni kisaikolojia.
Nyani haoni ....Tanzania kwa mara nyingine itavunja rekodi Afrika nzima kwa kuwa na Raisi msomi wa ngazi wa shahada ya uzamivu ya Kemia(PhD in Chemistry) tena asie FISADI. UKAWA jiandaeni kisaikolojia.
Tanzania kwa mara nyingine itavunja rekodi Afrika nzima kwa kuwa na Raisi msomi wa ngazi wa shahada ya uzamivu ya Kemia(PhD in Chemistry) tena asie FISADI. UKAWA jiandaeni kisaikolojia.
PHD NI upimbi tu, mbona Rais Kenyatta Hana na Kenya inapaa?
tazarakakundanganya nani kenya inapaa? Tafadhali usilinganishe kimo cha mbilikimo kwa kutafuta yupi ni mrefu zaidi. Wote ni mbilikimo tu! Inakera sana kujilinganisha na kenya. Tafuta nchi zenye maendeleo ya kweli na wako mbali haswa. Kenya kuna nini hasa cha ajabu au cha kutushinda? Ni mambo madogo ana machache. Nao pia yapo tuliowapita. Au ni hizo barabara na reli wanayojenga sasa? Mbona sgr tanzania inayo toka miaka ya sabini!!! Acha mzaha ndugu.