Tunahitaji critical thinker kama huyu

Ngapulila

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
840
740
Anajua kujenga hoja na hoja zake zina substance in it
 

Attachments

  • VID-20161122-WA0060.mp4
    3.8 MB · Views: 31
Hadi sura ya Mwandishi ghafla ikabadilika na kuwa nyekundu..hahaa
 
naona kaamua kutafuta uchochoro kwa mabaya yaliyofanywa na marekani ili afiche skendo ya rushwa
 
Siku zote ukiweka ligi na mtu anayejua kuupelemba mdomo lazima atakushinda. Sema wazungu nao wanaletaga dharau sana
 
Back
Top Bottom