Tunafunga car track, cctv camera n.k

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Jan 13, 2016
1,350
1,281
Wakuu tunafunga cctv camera, za wire na wireless, pamoja na access control kwa ajili ya maofisi,majumba,viwanda..pia tuna car track kwa ajili ya magari, pikipiki bajaj ni kifaa kinacholinda na kukiwezesha kupata gari lako pindi litakapoibiwa utajua lilipo na hata kulizima papo hapo kwa kutumia simu yako ya mkononi
IMG-20180125-WA0004.jpg
IMG-20180125-WA0006.jpg
IMG-20180125-WA0005.jpg
IMG-20180125-WA0007.jpg
IMG-20180125-WA0009.jpg
IMG-20180125-WA0011.jpg


Kampuni ni E-Vision Limited, email: sales@evision.co.tz ,info@evision.co.tz ,
Ofisi zipo samora avenue and mirambo street, nic investment house building.
Kwa maelezo zaidi piga simu No.0222113103/4, 0222110470 au 0652971495, 0754608152, 0784608152, 0789000448,
 
Cctv camera kwa majumbani sh ngapi
Camera kwa majumbani, set ya camera 4, na kufungiwa hadi kunuwezesha mtu kuona matukio kwa simu yake ya mkononi au internet inakuwa sh.1.2m, gharama ya vifaa vyote na pamoja na ufundi. Yaani cctv camera 4, power supply, hard disc, cables, connectors, routers, pins pamoja na labour charge.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom