Tunafunga Air Condition AC kwa bei nzuri

Tunafunga Air Condition AC kwa bei nzuri

Je mnauza na hizo ac?

Hapana hatuuzi,tunafunga tu
Bei ya AC dukani:
Zinauzwa kulingana na uwezo wake(power)
-Yenye horse power 2(2hp) ni Tsh 1,000,000/=
-Yenye horse power 1(2hp) ni Tsh 900,000/=
-Yenye horse power 0.5(0.5hp) ni Tsh 700,000/=

Bei yetu ya kufunga ni Tsh 150,000 lakini a makubaliano yapo.
 
Kuna AC zinauzwa mahali Tzs 5m. Wanaiita multi split, yaani nje ya nyumba ipo machine 1 then inahudumia vyumba 3 hadi 5. Aina ni Daikin, je kwa hii bei ni sawa?
 
Huyu fundi daa bei halali ni sh 70000 nimeshafungiwa na watu wengi tena sehemu mbali mbali mkuu
 
Huyu fundi daa bei halali ni sh 70000 nimeshafungiwa na watu wengi tena sehemu mbali mbali mkuu

Mimi nilifungiwa kwa sh 50,000 tu.

Its a FREE COUNTRY SINCE 1961! Soko huria limenanzia 1985 kwa mzee Ruksa. Kuna wahindi wanafunga Ac sh 300,000/Ac na wanapata tenda za majengo makubwa hatari. Unataka kuniambia ufundi ni sawa? Hell no! Cheap is always expensive. Huyo fundi wa bei poa anafunga kwa mazoea tu, i bet you ukimpa new model from Uk or Japan hana technical know how ya kufunga new tech. Kama huyu kaulizwa Ac ya 5m anatoa mijicho tu. I trust Indians wana import wa Pakish na Wahindi kidogo wanajua kazi na hawana magumash. So price inaweza tokana na quality ya service.

Msimuharibie mtu biahsara nendeni huko kwa 20,000 sisi wa 150k tutampigia.
 
Back
Top Bottom