Tunafanya services ya gari hadi nyumbani kwako

Tunafanya services ya gari hadi nyumbani kwako

popolon

Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
52
Reaction score
54
HNCS(Hadi Nyumbani Car Services)
hii ni kubwa kabisa kwa wakazi wa Dar es Salaam na Vitongoji Vyake
Inakusogezea Huduma zote za car services kwa ajili ya gari yako kwa kukufuata hadi nyumbani kwako yani ile changamoto ya muda wa kwenda garage inaondoka kabisa

Mchongo uko hivi
Service Labour Charges
Normal service 15000/=
kubadilisha break pads 10000/=
uchunguzi wa gari kwa computer 30000/=
Material/spare costs inategemea baada ya ukaguzi kujua nini kinashida unachotakiwa kufanya piga simu no 0716505153(stan fundi)
weka appointment yako tuje kufanya service.
Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana,andaeni vipeperushi msambaze kila nyumba yenye usafiri.....mtapiga ela sana
 
HNCS(Hadi Nyumbani Car Services)
hii ni kubwa kabisa kwa wakazi wa Dar es Salaam na Vitongoji Vyake
Inakusogezea Huduma zote za car services kwa ajili ya gari yako kwa kukufuata hadi nyumbani kwako yani ile changamoto ya muda wa kwenda garage inaondoka kabisa

mchongo uko hv
Service Labour Charges
Normal service 15000/=
kubadilisha break pads 10000/=
uchunguzi wa gari kwa computer 30000/=
Material/spare costs
inategemea baada ya ukaguzi kujua nini kinashida
unachotakiwa kufanya
piga simu no 0716505153(stan fundi)
weka appointment yako tuje kufanya service.
Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
ANGALIZO:

KUNA HAJA YA KUWATAMBUA VEMA MAFUNDI HUSIKA WATAOKUJA NYUMBANI KWAKO,

VINGINEVYO,
HATA WAHALIFU WANAWEZA KUJIFANYA MAFUNDI NA KUWAHARIBIA KAZI MAFUNDI HALISI!!

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
 
Fundi hafuati gari bali gari humfuata fundi..ukisha kuwa na kazi nyingi utaelewa maana yake..ukisha kuwa na kazi huwezi kukubali kupoteza mda kijinga hasa hapa mjini akikuita mtu mbagala kama ofisi yako ipo mwenge inamaana siku ndio ishapotea hivyo kwa kufanya kazi 1 tuu ya elfu 30..
 
Gereji zinatakiwa ziwe eneo maalum kwa ajili ya mazingira.
Pia Gereji inatakiwa iwe imesajiliwa Rasmi na ina leseni.

Huo umachinga wa Gereji ni Ukwepaji wa kodi na kuharibu mazingira.

Hawa ndio baadae wanakuja usiku au wanatuma vibaka waje kitoa vifaa vya gari.
Wizi wa Kuruka ukuta na kutoa vifaa vya magari umeshamiri kutokana na hawa jamaa.

Serikali ipige marufuku hawa makuwadi wa wezi wa magari na vifaa vingine majumbani.

Kila nyumba yenye gari haiwezekani kuwa ni gereji . Tutashindwa kudhibiti uharibifu wa mazingira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fundi hafuati gari bali gari humfuata fundi..ukisha kuwa na kazi nyingi utaelewa maana yake..ukisha kuwa na kazi huwezi kukubali kupoteza mda kijinga hasa hapa mjini akikuita mtu mbagala kama ofisi yako ipo mwenge inamaana siku ndio ishapotea hivyo kwa kufanya kazi 1 tuu ya elfu 30..
Mafundi mchundo hawa hawana hata garage ya kujiegesha
 
Back
Top Bottom