Tunafanya Installation na Training za Quickbooks

Tunafanya Installation na Training za Quickbooks

Ngalewa

Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
97
Reaction score
11
Habarizenu wadau

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nafanya installationi ya Quickbooks Point of Sale 9.0 hii ni software yenye uwezo kufanya “management” ya “stock/inventory” za biashara yoyote kuanzia maduka, pharmacy, mafuta, mifugo ,computer , na vifaa vyake (computer accessories) vifaa vya ujenzi n.k na kukupa report haraka sana kwa kipindi chochote unachohitaji. Mfano bei ya kununua/kuuza, stock kiasi gani imebaki/imeuzwa na thamani yake mda wowote.

Quickbooks Pro 2010 hii ni Accounting Packge yani inafanya kazi za kihasibu hata kama mtumiaji sio mhasibu ni rahisi kutumia na inakupa ripoti muda wowote kujua faida na hasara katika kampuni yako,shule,biashara zako, Hotelini n.k.

Bei zetu ni nzuri na mkoa wowote tutakufikia
Tupigie au sms:0717 057 552
 
Sawa karibu upate huduma zetu zenye bei nafuu kuliko wengine
 
Installation pamoja na Training ni Tsh. 350,000 tu.
 
Back
Top Bottom