tricky inayotumika ni kutugawa watanzania ... walianza kuwagawa wale wa kas, wakawatenga wa mash, mwisho wa siku wanataka wabaki wa kanda ya Ziw, sijui kama kule kulikotokea Tetemeko watamkubali... I wish wangejua kuwa Siasa za Kenya hazina nafasi hapa kwetu ... population ya kule pekee haitamtosha kumpeleka kwenye nyumba nyeupe bila muungano wa kanda zote ... Namuunga mkono LEMBELI kauli yake kwa asilimia mia moja ....