johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,131
- Thread starter
- #21
Wewe unaiba mbege?! 😂😂YOTE MAJIZI MAUAJI, YALE YALE TANGU UHURU, HAYANA JIPYA. MAJIZI YA MENO YA TEMBO
Wewe unaiba mbege?! 😂😂YOTE MAJIZI MAUAJI, YALE YALE TANGU UHURU, HAYANA JIPYA. MAJIZI YA MENO YA TEMBO
Ushirikina nao unafanya kazi vizuri snWabunge tuliochaguliwa na Shujaa Magufuli 2020 wameonesha Uwezo mdogo Sana hadi sasa
Hawawezi kutetea lolote kuhusu Wananchi
Nimwombe mwenyekiti mh Dr Samia na Wasaidizi wake Chamani Mzee Kinana, Dr Nchimbi na Komredi Makonda wahakikishe makosa ya 2020 hayarudiwi
Unamtosa Adadi unamleta Mchambuzi wa Michezo 🐼
Ni majitu ya hovyo sn mkuuYOTE MAJIZI MAUAJI, YALE YALE TANGU UHURU, HAYANA JIPYA. MAJIZI YA MENO YA TEMBO
ndugu zako lazima uwateteeNi majitu ya hovyo sn mkuu
mbege ni cheap, very cheap utaibaje? Unaiba meno ya tembo kwa sababu yana utajiri. Unauza bandari kwa sababu unamuwekea Abuu ya kesho. Mbege maji tu. Wewe uko hapa unashangilia weziWewe unaiba mbege?! 😂😂
Hakuna shida dada angundugu zako lazima uwatetee
wamechina kama samaki, hawafai hata ukiwazimua kwa ndimuWabunge tuliochaguliwa na Shujaa Magufuli 2020 wameonesha Uwezo mdogo Sana hadi sasa
Hawawezi kutetea lolote kuhusu Wananchi
Nimwombe mwenyekiti mh Dr Samia na Wasaidizi wake Chamani Mzee Kinana, Dr Nchimbi na Komredi Makonda wahakikishe makosa ya 2020 hayarudiwi
Unamtosa Adadi unamleta Mchambuzi wa Michezo 🐼
Siyo "walete" . Hao unaowataja akina SSH, Kinana na Nchimbi hawawafahamu watu wanaofaa. Wananchi ndiyo wanawafahamu wanaofaa. Ndiyo maana Uchaguzi huru ndani ya CCM na nje ya CCM ndiyo falsafa ambayo watu wanaofikiri huipigania kwa maslahi ya maendeleo ya Taifa. Timu ya wacheza mpira wa ndimu ukiipeleka kama timu yako ya taifa ya mpira ndiyo tatizo la Bunge letu sasa. Mapambio ya kumsifu SSH yanachukua muda mrefu kuliko kuchangia hoja inayojadiliwa! Kweli Tanzania tutafika huko wenzetu waliko? Umesikia hoja nzito za Afrika Kusini kwenye Mahakama ya Dunia? Wenzetu wako hapo! Sisi tunazungumzia matatizo ya wanawake ambao waume wa wamepotezwa bila maelezo ya polisi, hawajulikani walipo au kuandaa viongozi watakaosaidia kuiba kura au kutangaza ushindi wa kufikirika! Hii ndiyo nchi ya Nyerere iliyomtisha Kissinger wakati huo wa kugombea uhuru wa Zimbabwe!Wabunge tuliochaguliwa na Shujaa Magufuli 2020 wameonesha Uwezo mdogo Sana hadi sasa
Hawawezi kutetea lolote kuhusu Wananchi
Nimwombe mwenyekiti mh Dr Samia na Wasaidizi wake Chamani Mzee Kinana, Dr Nchimbi na Komredi Makonda wahakikishe makosa ya 2020 hayarudiwi
Unamtosa Adadi unamleta Mchambuzi wa Michezo
Kwamba wabunge wa ccm ili wawe wazuri hadi wachanganywe na wabunge wa kutoka upinzani?wa
ili wabunge wawe wazuri ni lazima uwachanganye na wabunge wa kutosha kutoka upinzani la sivyo kosa kubwa lilifanyika awamu ya 5 na ndiyo kisa cha kurubuni wale 19.Kosa hili lisirudiwe tena linaua democracy na maendeleo ya nchi.
Kama ni hivyo hatuna wabunge wazuri kabisa.Kabisa Kabisa!
umeanza matusi, nakujia soonHakuna shida dada angu
Ccm ilitaka kushika Wabunge wengi iwapitishe wale ambao Wananchi wanawataka sio wale ambao Rais anawataka.Wabunge tuliochaguliwa na Shujaa Magufuli 2020 wameonesha Uwezo mdogo Sana hadi sasa
Hawawezi kutetea lolote kuhusu Wananchi
Nimwombe mwenyekiti mh Dr Samia na Wasaidizi wake Chamani Mzee Kinana, Dr Nchimbi na Komredi Makonda wahakikishe makosa ya 2020 hayarudiwi
Unamtosa Adadi unamleta Mchambuzi wa Michezo 🐼
Karibuumeanza matusi, nakujia soon
Bavicha vs Bawacha dadekiKaribu
Peleka ujinga wako hukoBavicha vs Bawacha dadeki
Ngija tuone bavicha Retired akirejea 😂🔥
Sio kila amtajaye JPM ni CHADEMA. Muombe radhi kada kindakindaki wa Lumumba johnthebaptist ingawa anachekelea tu.Mnakosea sana mnaposema walichaguliwa na JPM.
Ieleweke tu kwamba Wabunge walichaguliwa 2020 ni viazi!!
Hizi fikra tegemezi kwa JPM ndo zimekupotezeni CHADEMA hata msijue asubuhi muamke na hoja Gani!!
Naungana na wewe kwamba hatuna Wabunge Bali tuna Viazi tena vilivyooza