Tunachowadai wachezaji wa Simba msimu huu

Tunachowadai wachezaji wa Simba msimu huu

choza choza

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2019
Posts
2,289
Reaction score
4,087
Wachezaji wa Simba sisi mashabiki wenu tunawadai kimoja kati ya vitu vitatu vifuatavyo na ikiwezekana vyote

1. Kumfunga Berkane na kuchukua shirikisho

2. Kuwafunga " hatuchezi fc na kuchukua ligi

3. Kuwafunga "hatuchezi fc " na kuchukua crdb

Haya mambo matatu mkishindwa kufanya hata moja kisha tumalize msimu patupu haikubaliki, ni either muondoke wote tuanze upya

Tumechoka unyonge wa miaka minne
 
Hahaha japo sio shabiki sana wa mpira, ila hao "Hatuchezi Fc" huwa simba haina ujanja labda mwaka huu
 
Wachezaji wa Simba sisi mashabiki wenu tunawadai kimoja kati ya vitu vitatu vifuatavyo na ikiwezekana vyote

1. Kumfunga Berkane na kuchukua shirikisho

2. Kuwafunga " hatuchezi fc na kuchukua ligi

3. Kuwafunga "hatuchezi fc " na kuchukua crdb

Haya mambo matatu mkishindwa kufanya hata moja kisha tumalize msimu patupu haikubaliki, ni either muondoke wote tuanze upya

Tumechoka unyonge wa miaka minne
Mbereko Fc na huu msimu ni bila bila. Hakuna mtakacho ambulia. Mbinu zenu zote haramu zimebainika. Kwa hiyo mjipange tu kwa msimu ujao.
 
Wachezaji wa Simba sisi mashabiki wenu tunawadai kimoja kati ya vitu vitatu vifuatavyo na ikiwezekana vyote

1. Kumfunga Berkane na kuchukua shirikisho

2. Kuwafunga " hatuchezi fc na kuchukua ligi

3. Kuwafunga "hatuchezi fc " na kuchukua crdb

Haya mambo matatu mkishindwa kufanya hata moja kisha tumalize msimu patupu haikubaliki, ni either muondoke wote tuanze upya

Tumechoka unyonge wa miaka minne
Hayawi hayawi sasa yamekuwa...na hiyo point yako no. 2 SAHAU kabisa.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Makelele SC.
5. Malalamiko/Lia lia SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau/Mapaka SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mwakarobo SC.
11. Mbeleko/Bebwa bebwa SC.
12. Manguruwe SC.
13. Miso Misonda SC.
14. Mikia SC.
15. Mbuzi SC.
16. Zuwena SC.
17. Khamsa Khamsa/5imba SC.
18. Kufa Kiume SC.
19. Kikanuni SC.
20. Bahasha SC.
21. Ngada SC.
22. Kolowizards SC.
JamiiForums-312072181.jpeg
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Makelele SC.
5. Malalamiko/Lia lia SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau/Mapaka SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mwakarobo SC.
11. Mbeleko/Bebwa bebwa SC.
12. Manguruwe SC.
13. Miso Misonda SC.
14. Mikia SC.
15. Mbuzi SC.
16. Zuwena SC.
17. Khamsa Khamsa/5imba SC.
18. Kufa Kiume SC.
19. Kikanuni SC.
20. Bahasha SC.
21. Ngada SC.
22. Kolowizards SC.View attachment 3352230
Sawa
 
Endapo Simba itashindwa kuibuka na ushindi hiyo tarehe 25 yafuatayo yanatakiwa kufanyika
1. Benchi lote la ufundi liondoke
2. Wachezaji wote waondoke timu ianze upya
3. Uongozi wote uachie ngazi

Ni dhambi kushindwa kuwafunga nyuma mwiko mechi 5 mfululizo na viongozi wapo wapo tuu
 
Back
Top Bottom