Tunachimba visima virefu pia tunafanya surveying ,flashing ,pump installation

Tunachimba visima virefu pia tunafanya surveying ,flashing ,pump installation

wachimbaji visima

New Member
Joined
Aug 11, 2018
Posts
3
Reaction score
1
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia namba hizi
0714453589
0621711451
IMG_20180813_135719_1.jpg
IMG_20180813_160613_3.jpg
 
Naomba unipatie bei elekezi ya kuchimba kisima eneo lenye water table ya karibu sana

Eneo lenyewe lina clay soil na mawe mengi jirani alichimba kisima na mkono akapata maji meter chache sana
 
Hivi ninyi wachimba visima, huwa hamkaguliwi na mamlaka husika kabla ya kupewa vibali na leseni...??!!
Nakumbuka kuna mwenzako mmoja aliwahi kuleta tangazo na kampuni inayo chimba visima kama wewe.
Ukweli nilimkosoa kuhusiana na ninyi mnapo tangaza biashara yenu, wakati naona/mnaona kabisa kwamba mnatenda makosa na kuvunja sheria za usalama kazini kwa kuwatumikisha wafanyakazi wenu pasipo na PPE.
Hili ni kosa kisheria, na kosa hili linaweza sababisha hata mkashtakiwa pindi mfanyakazi atakapo umia ama hata kupelekea kufunguwa kwa kampuni ama shughuli zenu. Na kuna baadhi ya wateja hawawezi kuwapa kazi kwasababu ya ninyi kutofuata sheria za usalama kwenye maeneo yenu ya kazi.
 
Naomba bei elekezi kwa kuchimba kisima maeneo ya kisarawe roughly 70m
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom