Tunachimba visima kwa ubora na kwa bei nafuu

trustful

Senior Member
Mar 9, 2016
173
144
Tunachimba visima kwa ubora wa uhakika na kwa bei nafuu ya sh. 4500000. Bei hiyo tajwa ni mjumuisho wa gharama zote kuanzia uchimbaji wa kisima chenyewe, uwekaji mabomba, na hadi ufungaji pump n.k ambapo vyote hivyo ni juu yetu. Hata hivyo ifahamike kwamba, hatuishii tu kuchimba na kukabidhi kisima bali pia tunatoa guarantee ya uhakika ya mwaka mmoja.
Tunapatikana kwa namba hizi; 0712452319 Karibuni sana.
 
Bei hiyo ni kwa wapi?? Au hata mie wa Katavi huku nawaita kwa bei ni hiyo hiyo??
 
Tunachimba visima kwa ubora wa uhakika na kwa bei nafuu ya sh. 4500000. Bei hiyo tajwa ni mjumuisho wa gharama zote kuanzia uchimbaji wa kisima chenyewe, uwekaji mabomba, na hadi ufungaji pump n.k ambapo vyote hivyo ni juu yetu. Hata hivyo ifahamike kwamba, hatuishii tu kuchimba na kukabidhi kisima bali pia tunatoa guarantee ya uhakika ya mwaka mmoja.
Tunapatikana kwa namba hizi; 0712452319 au 0767452319 Karibuni sana.
Bei hii ni kwa visima vya urefu gani??
Kwangu Mlandizi nilipo bila kuchimba mita hujapata maji bado
 
mazingira.co.tz na twinoxide.co.tz karibu na wewe
 
Tunachimba visima kwa ubora wa uhakika na kwa bei nafuu ya sh. 4500000. Bei hiyo tajwa ni mjumuisho wa gharama zote kuanzia uchimbaji wa kisima chenyewe, uwekaji mabomba, na hadi ufungaji pump n.k ambapo vyote hivyo ni juu yetu. Hata hivyo ifahamike kwamba, hatuishii tu kuchimba na kukabidhi kisima bali pia tunatoa guarantee ya uhakika ya mwaka mmoja.
Tunapatikana kwa namba hizi; 0712452319 au 0767452319 Karibuni sana.
Mkuu mimi nipohuju kibiti mkoan pwan, ni bei hyo hyo?
 
Bei hiyo ni kwa wapi?? Au hata mie wa Katavi huku nawaita kwa bei ni hiyo hiyo??
Kwa huko Katavi hatujafika bado mkuu, lakini kama una mtu yeyote unayefahamiana nae anaishi Dar usisite kumjulisha kuhusu huduma yetu hii.
 
Bei hii ni kwa visima vya urefu gani??
Kwangu Mlandizi nilipo bila kuchimba mita hujapata maji bado
Bei hiyo bwana Shark ni ya jumla hasa kwa visima virefu, lakini kwa maeneo ambapo Maji hayako mbali sana labda kama kwa mfano ukichimba mita 60 hadi 70 hivi unakuwa ushayafikia, basi BEI inaweza kupoa kidogo.
 
Kisima mita ngapi unachimba kwa bei hiyo?? Kuna tofauti ya uchimbaji kutegemea urefu ndio hu determine price.mita 100 huwezi chimba kisima kwa fixed price.bomba nk ndio gharama sana na mafuta.
 
Bwana KIBUYUSAFI sisi hata mita mia tunakuchimbia kwa BEI hiyo. Amini haya ninayokuambia na ili kuthibitisha hilo tujaribu ujionee mwenyewe. Karibu sana.
 
Tunachimba visima kwa ubora wa uhakika na kwa bei nafuu ya sh. 4500000. Bei hiyo tajwa ni mjumuisho wa gharama zote kuanzia uchimbaji wa kisima chenyewe, uwekaji mabomba, na hadi ufungaji pump n.k ambapo vyote hivyo ni juu yetu. Hata hivyo ifahamike kwamba, hatuishii tu kuchimba na kukabidhi kisima bali pia tunatoa guarantee ya uhakika ya mwaka mmoja.
Tunapatikana kwa namba hizi; 0712452319 au 0767452319 Karibuni sana.
Mkuu vipi??
Nahitaji huduma yenu seriously,
 
Nahitaji hyo huduma nipo dsm mbagala.
 
Visima vya maji ya kunywa vya malingi huwa mnachimba?
Nina shida ya kuchimba kisima kifupi cha malingi chenye urefu wa mita 30 hapa Dsm, ni sehemu laini yenye chemi chemi kwa hiyo sioni sababu ya kufanya survey. Gharama ya ufundi, malingi na (gravels za kusafishia maji kama ni lazima) jumla ni bei gani?
 
Back
Top Bottom