water well driller
Member
- Nov 10, 2015
- 45
- 1
- Thread starter
-
- #41
mnapatikana wapi? kwa mfano mm nipo kilombero ntapataje iyo huduma?
Khaa!! Labda elfu sabini kwa futi moja :spy:
Mkuu hii 70,000 ni urefu wa mita ngapi?
mnapatikana wapi? kwa mfano mm nipo kilombero ntapataje iyo huduma?
Kwa wa mikoani kama wewe tunachimba mita moja kwa laki moja kwa hiyo hapo ni sawa naMimi nipo Dodoma mjini. Survey nimeshafanya je mtachimba kwa gharama zipi. Inatakiwa mita 120 ili kupata maji ya kutosha.
Fafanua kua alfu 70 ni kwa mita moja.
Hawaeleweki kama kura alizopata mkulu
Huyo ni tapeli ambaye hana akili
Kesho njoo unichimbie mita 80, tank na pump hivyo ninavyo.
Laki saba au elfu sabini? Mko mkoa gani?
Probably ni elfu sabini kwa mita moja...
Mi mwenyew ni driller ila ww kwa ulichokiandika hapa ni wazi tapeli
hiyo ni kwa mita
Nimekusoma mkuu, nitawatafutaElfu sabini ni kwa mita moja mkuu
eti???
Hapana mkuu mimi sio taperi hebu nitake radhi