Tunaboresha tozo za kodi bila kuimarisha vyanzo vya mapato

sammosses

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
1,745
Reaction score
1,171
Nchi ipo kwenye kutekeleza kipau mbele cha kukusanya kodi, tumerudi kwa zama za Caesar hali iliyo sababisha wananchi wamuulize Yesu, ni halali kulipa kodi!!! Hii inaonyesha jinsi gani walipa kodi wa wakati huo walivyochoshwa.

Ni ukweli usio na Shaka kuwa nchi haiendi bila kulipa kodi,lakini ni ukweli pia kuuwa vyanzo vya mapato kwa kumuongezea mlaji utitiri wa kodi ni sawa na kumtwisha gunia la misumari kichwani ilihali ana kipara.

Zipo kodi na tozo zingine kisheria lakini Zipo nyingine ambazo ni manyanyaso kwa wananchi na hazipo kisheria.

Zilizoko kisheria zimekuwa zikilalamikiwa kila kukicha na wananchi kiasi cha TRA kuwafanya walipa kodi kuwa adui wa kodi. Ikiwa tu hizi zilizoko kisheria ni mzigo iweje hizo zinazo kuja kwa mawazo ya dharula.

Tumeona taasisi binafsi ikikumbwa na mtikisiko (economical crisis) mkubwa wa kiuchumi, unasababishwa na mtikisiko wa kodi uliopelekea kuporomoka kwa mtaji na biashara nyingi kufungwa. Hali hii imetokana na overestimation baada ya sheria mpya ya kodi.

Anguko la sekta binafsi ambaye ndiye mdau mkubwa wa kodi kama chanzo cha mapato(source of income) ,limepelekea serikali kukosa mapato na kuja na plan B ya kodi zisizo kisheria kwa kurudisha kodi za manyanyaso kwa jina la kitambulisho cha mjasiliamali.

Itakumbukwa 2006 wakati wa awamu ya tatu serikali ilipoteza rasilimali watu kutokana na kodi ya manyanyaso, kodi ya mkoloni kwa jina la kodi ya maendeleo. Kutokana na kadhia hiyo serikali ilifuta kodi hizo, lakini ajabu leo tumerudishiwa kwa jina jingine lenye maudhui sawa na iliyofutwa.

Kwanini nasema kodi ya kichwa imerudi, Ukiangalia sifa 47 zilizoainishwa kutokana na kodi hii isiyo rasmi utaona kuwa hakuna mtanzania atayebaki salama, Bali tunarudi kule kule tulipotoka kutokana na sifa zilizoainishwa kwa mtanzania huyu kama ifuatavyo ;

1. Vibarua wa viwandani wasio na mikataba maalum.
2. Wafanyakazi wote wanaofanya kazi kwa wenye maduka/stoo za jumla.
3. Wabeba mizigo wote kwenye stendi zetu.
4. Wafanyakazi kwa wamama/baba ntilie.
5. Wachuuzi kwenye mialo yote.
6. Vibarua wote wa viwanda/mashine za kusaga unga au kukamua mafuta ya Alizeti.
7. Wafanyakazi wote walio kwenye saloon za aina zote.
8. Wale wote wanaopeleka kuuza chai kwenye viwanda vya chai toka mashamba binafsi.
9. Wafugaji biashara wote wa Ng'ombe na kuku.
10. Vibarua kwenye garage zote.
11. Wachomeleaji (welder) wote.
12. Vibarua wote kwenye karakana za Uselemala.
13. Vibarua wote kwenye vijiwe vya nyama choma/chips.
14. Wapiga debe wote kwenye stend za Iringa.
15. Wanachama walio kwenye vikundi vyote vilivyopewa Mikopo.
16. Vibarua wote walio kwenye Migodi yetu.
17. Wanachama wote wa Saccos za Iringa.
18. Vibarua wote kwenye vibanda vya simu.
19. Wafanyakazi wote kwenye Supermarket
20. Wafanyakazi wa vituo vya Mafuta.
21. Vibarua wote katika Mashamba ya miti.
22. Wanaochoma mahindi barabarani, ya kutafuna.
23. Wafanyakazi wa guest wote.
24.Wafanyakazi wa restaurant wote.
25. Wafanyakazi wote wa baa.
26. Waliowezeshwa na Mfuko wa Tasafu na waliopiga hatua kwa msaada huo.
27. Wanaolima na kuuza kibiashara bustani za mboga.
28. Waganga wote wa Tiba za jadi.
29. Wanachama wote wa Vikundi vya vikoba.
30. Vilabu vyote vya pombe za kienyeji.
31. Madereva wote wa daladala, bodaboda, mabasi, Hiace.
32. Makondactor wote wasio na Mikataba rasmi.
33. Wajasiliamali wote kandokando mwa barabara.
34. Wafanyakazi wote katika Butcher za nyama/samaki.
35. Wafanyakazi wote wa carwash.
36. Waandishi wa habari wote.
37. Wanaofyatua tofali za biashara wote.
38. Walio kwenye sector ya Utalii wote.
39. Vibarua kwa wakandarasi wote na mafundi wote wa nyumba.
40. Wafugaji wa nyuki wote.
41. MCs wote na wapiga picha.
42. Madalali wote wa nguzo, nyumba, mashamba, mazao nk.
43. Wakusanya mazao wote.
44. Wanaokopi/rekodi nyimbo Vibarazani mwa maduka.
45. Freelenser wote wa makampuni wa simu.
46. Wauzaji wote wa rejareja wa vitenge, nguo, matunda, chukula wanaopita maofisini.
47. Walinzi wote walioajiriwa na watu/taasisi wasiokuwa na mikataba rasmi.

Kwa sifa hizo nani anapona.

Kwanini nasema kodi hii haipo kisheria lakini pia haikuwashirikisha wadau.

Wakati rais ana waapisha baadhi ya wakuu wa mikoa pia aliwaita wakuu wote wa mikoa na kuwakabidhi vitambulisho hivyo 25000 kila mkoa. Na kuwataka kuvikabidhi kwa wamachinga iliwatambulike kwenye biashara zao lakini baadae vilikuwa vya wajasiliamali.

Vitambulisho hivi vimetoka kwa utashi wa mtawala, bila kuzingatia sheria kwa kupitishwa bungeni kwa muswaada wa sheria ambao ungetenezewa kanuni baada ya kusaini na rais na kuwa sheria.

Matokeo yake vyombo vya dola vimejikuta vikitengeneza mgogoro usio na kichwa na baadhi ya wabunge na wanaharakati wanaopinga na kuishangaa kodi hii mpya isiyo na baraka za Bunge,kwa kuwakamata na kuwaweka ndani.

Pamoja na mapungufu hayo, hata usambazaji wake umekuwa wa kibabe na nguvu kubwa kwa kutumia polisi na mgambo bila hata kutoa elimu ya zoezi hili hali inayo shabihiana kabisa na mfumo wa kikoloni . Hali inayowajengea wananchi chuki za wazi dhidi ya serikali yao.

Athari zake nini:

Watanzania kutokuwa waaminifu ili kukwepa mlundikano wa kodi ambazo zinapora faida na mitaji ya wafanyabiashara.

Kukosekana kwa uaminifu na chuki dhidi ya serikali,hasa wafanya biashara wakubwa ili kulinda mitaji yao wamegeuka machinga kwa kutaka vitambulisho vya ujasiriamali kuliko hata mahitaji ya machinga wenyewe. Hali itayopoteza mapato makubwa ya serikali kuliko serikali inavyofikiri.

Haiwezekani biashara Moja ikawa na utitiri wa Tozo mtanzania huyu akabaki salama.

Nini kifanyike;

Serikali isitishe zoezi hili na kupeleka muswada wa sheria ya kodi bungeni ili lijadiliwe kwa mapana na wawakilishi wa wananchi kwa kutazama mazingira yawalipa kodi na tija ya jambo lenyewe. Ikiwa mapendekezo ya sheria hiyo yanapora haki za wananchi iondolewe au kuboreshwa iwe na tija kwa maslahi ya taifa.

Wadau ambao ndiyo walipa kodi, washirikishwe na kupata elimu hiyo ikiwa ni pamoja kusikilizwa hoja zao, Tanzania ni nchi yetu sote,ushirikishwaji ni Bora kuliko nguvu na ubabe.

Halmashauri na manispaa zetu kwa kushirikiana na serikali kuu ziangalie mgongano wa maslahi kwenye tozo la biashara Moja bila kumtwisha mzigo wa kodi zinazo fanana zikiwa zimebadilishiwa jina tu.

Kutengeneza mazingira mazuri na rafiki kwa walipa kodi na si uadui ili kujenga uaminifu kwenye ulipwaji huu.

Mwisho, Tanzania bila kodi haiwezekani, lakini kodi hizo zisiwe jambia na mkuki kwa sekta binafsi, Vinginevyo ipo siku hivi vyanzo namvyo viharibu leo mtavikosa.
 
Huu ni unyonyaji yani mtu anajitungia sheria.
#Tutakutana 2020.

Na hata hiyo inayokusanywa Mbona haionekani? Kumbuka 1.5 Trillion. Wajanja walishaipiga, na ni kimya. Ili kuifidia ni lazima mnyonge akome
 
tunalishwa Sana matango pori, watanzania wamelogwa aise, hatuoni wenzetu unga na mkate tu wanadai haki zao
 
Kitambulisho cha 20k kwa mwaka ndio kinawaliza hivyo?

Mtu kajiajiri anauza nyanya halipi kodi hata sh. moja, lkini anavyotamba kwamba yeye anaoba mbali hasubiri kuajiriwa na kukejeli walimu walioajiriwa wanaolipa kodi zaidi ya laki moja kila mwezi ili kuchangia huduma za maii, barabara na afya naz zingine wanazoiba ccm na watawala.

sasa bora kila mtu alipe kodi tena hiyo elfu 20 ilipwe kila mwezi sio mwaka. Tuheshimiane. wanyoshe baba.
 
Back
Top Bottom