Tuna mengi ya kujifunza kutoka Rwanda

Tuna mengi ya kujifunza kutoka Rwanda

Mi nilishawahi kuwa na demu wa kitutsi ila waliposafiri hawajarudi tena,nina mpango nimbandue na wakihutu nifunge mahesabu na wanyarwanda halafu nihamie DR Congo
Nalog off
Zote nyamaa tu mkuu hata ungehamia sudani just ok
 
Rwanda - 26, 338 square kilometres.

Tabora - 76, 150 square kilometres.

Wenzetu wanajenga nyumba ya vyumba viwili. Sisi tunajenga ghorofa lenye floor zaidi ya 20.

Yani hapo ni kama vile umesifia kwamba mchicha umekua haraka kuliko mbuyu!
 
Walau mkuu hiloo umeliona
 
Rwanda - 26, 338 square kilometres.

Tabora - 76, 150 square kilometres.

Wenzetu wanajenga nyumba ya vyumba viwili. Sisi tunajenga ghorofa lenye floor zaidi ya 20.

Yani hapo ni kama vile umesifia kwamba mchicha umekua haraka kuliko mbuyu!
Sijui kama watakuelewa.
 
Umefika vijiji gan Rwanda ututumie picha hali zao za maisha. Maana kwangu mimi Rwanda naiona kwenye TV tu ila ni ya kawaida sana kulinganishanao
 
Back
Top Bottom