Tunae Mungu mwema kwetu na hata kuwepo na majaribio hivi sasa ya kuiga utekelezaji wa mikakati ya CHADEMA kwa maendeleo ya nchi hii sisi watanzania tumeamua moja tu!!..Kuipiga Chini CCM kwa haliyoyote ile na ni wajibu wao kutenda hayo kwa kuwa wamechukua madaraka serikalini kuyatenda hayo bila sifa!!...tunawalipa kwa kazi hiyo na hakuna sifa maana sio fadhila ni wajibu wao!!
HUKU SISI WAJIBU WETU NI KUIONDOA CCM MADARAKANI TARATIBU BILA ATAHARI..ONA HAPA...
Matokeo ya Uchaguzi Wiki hii:
Jumapili ya jana 23.04.2017 kulikuwa na chaguzi ndogo kadhaa za vijiji, Mitaa, na Vitongoji nchi nzima, lakini haswa huko Uyui mkoani Tabora ambako uchaguzi ulihusisha vijiji 4 na vitongoji 12.
Matokeo ni kuwa:
Uchaguzi wa Vijiji 4
1. CCM imepata Vijiji 1;
2. Chadema imeshinda Vijiji 3.
(Jumla ya kura ni 1,145 kwa CHADEMA dhidi ya kura 829 za CCM)
Vitongoji 12
1. CCM imepata vitongoji 2;
2. CHADEMA vitongoji 10;
(Jumla ya kura ni 983 kwa CHADEMA dhidi ya 530 za CCM)