Mkipewa LIVE mnasema UBISHI!!Heeehehe...heri mbishi ajuae kuliko mtulivu sijui mpole asiyejua!!Nakujua we mbishi... BTW wasichana wote wanaoitwa Elizabeth ni wabishi....
Hiyo ni imani wanayojijengea wasiojua!!!Wabishi wengi wanajua vitu vingi sana lakini kwa bahati mbaya they know them wrong...
ulioongea ni kweli kabisa avata zinachangia aina ya response kama huyo rose hata akujibu kwa ukali huwezi chukia sababu anakukonyeza mfano
mzuri jinsi alivyo kujibu lizzy hapo angejibu hivyo rose hata usingekasirika sana aliposema hii ni crap. na hio ni mbaya mtoa mada wa kwanza kama
hua anaongea pointi basi akija tu negative unakuta wote wanafuata mkumbo badala ya kutoa mawazo yao.
Dah...kumbe ndivyo inavyokua?!Binafsi hua naangalia alichoandika na mtu na sio aliyeandika kabla ya kuamua nijibu vipi!!ulioongea ni kweli kabisa avata zinachangia aina ya response kama huyo rose hata akujibu kwa ukali huwezi chukia sababu anakukonyeza mfano mzuri jinsi alivyo kujibu lizzy hapo angejibu hivyo rose hata usingekasirika sana aliposema hii ni crap. na hio ni mbaya mtoa mada wa kwanza kamahua anaongea pointi basi akija tu negative unakuta wote wanafuata mkumbo badala ya kutoa mawazo yao.
Sijakasirika banaa.
Hata hivyo hii post nilikuwa natania tu, haina ukweli but watu wameichukulia siriaz kwa sababu tu ya avatar yangu... hahahaaaaaaaa...
CRAP...how is that for a serious reply?!
Mkipewa LIVE mnasema UBISHI!!Heeehehe...heri mbishi ajuae kuliko mtulivu sijui mpole asiyejua!!
Hiyo ni imani wanayojijengea wasiojua!!!
Dah...kumbe ndivyo inavyokua?!Binafsi hua naangalia alichoandika na mtu na sio aliyeandika kabla ya kuamua nijibu vipi!!
Lizzy naona unajibu siriaz sana. Ukweli nikuwa hii topic haina ukweli, but kwa kuangalia avatar yangu ilivyo siriaz, umedhani namaanisha... lol
unaweza ona hii post ni mzaha but avata hapa jf inacheza nafasi kubwa imagine mwanakijiji aweke avata kama ya gaijin.
Avatar ya Gaijin imefanya nini?