Tumwone Membe akichapia mbele ya press

Koffi Annan

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2018
Posts
2,499
Reaction score
7,599
[emoji38][emoji38]

Your browser is not able to display this video.
 
Kuchapia ni kawaida kwa kila mtu ata pia mimi kwa umri wangu huu bado nachapia
 
Ha ha!
Huyu jamaa mi napata shida na body language yake haswa akiwa anahojiwa na vyombo vya habari!!.

Hamna kitu hapo japo act wanasema wameokota lkn naona wameokotwa..

ACT nilimpendaga mama anna mgwira tu hawa wengine neyo gete..
 
Kwa hakika ukiacha kumpenda yule mama hasa alipokuwa anahamia CCM si utakuwa na case ya kujibu kwa pole pole?
 
Kwa hakika ukiacha kumpenda yule mama hasa alipokuwa anahamia CCM si utakuwa na case ya kujibu kwa pole pole?
Ha ha! Mkuu usinivishe joho nisiloliweza huyu mama nilimpenda wakati wa kampeni 2015 alivyokuwa akigombea urais kwa tiketi ya ACT binafsi alikuwa anajibu hoja vizuri hicho ndo kilifanya nimpende fatilia midaharo mwaka 2015.. usiwe mwepesi kuvika mtu joho kiivyo we kalili hai kina polepole wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…