Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,641
ndg umekosea sn kuingiza ushabiki ktk hili,usingeingiza habari ya yanga kwenye Uzi wako.kwa hiyo yanga wamemroga ama?haya mwanasimba.Ndugu wanasports
Nimepokea kwa mshituko kuwa msemaji mkuu wa klabu cha simba s.c ndugu sande manara amepofuka jicho moja halioni kabisa na lingine lililobaki linaona kwa uhafifu sana
Hivyo sisi kama watu wa Mpira hatuna budi kuungana na familia yake katika kipindi hiki kigumu
Mungu amponye kwa hili tatizo lililomfika
Niwaonye pia viongozi na wapenzi wa yanga kama kuna kitu wanakifanya nyuma ya pazia waache Mara moja
Mambo ya kuvunjiana nazi yashapitwa na wakati
Mungu mbariki manara,Mungu ibariki simba s.c
Mleta mada mwenyewe anajikanyaga tu kiasi cha kushindwa kuaiamini hata taarifa yake. Msemaji wa Simba ni Haji Manara na siyo huyo aliyemtaja yeye. Nijuavyo mimi Haji Manara ni mtu mwenye ulemavu wa ngozi hivyo matatizo ya macho ni kitu cha kawaida tu, hakuna uchawi wala nini. Mleta mada aache imani za kishirikina.Yanga inahusika vp wakati ina vimeo vyake?
Aiseee wee unaonekana hats kuzaliwakwako mganga alishiriki ujiowako loh ..Yanga wamloge anananiniNdugu wanasports
Nimepokea kwa mshituko kuwa msemaji mkuu wa klabu cha simba s.c ndugu sande manara amepofuka jicho moja halioni kabisa na lingine lililobaki linaona kwa uhafifu sana
Hivyo sisi kama watu wa Mpira hatuna budi kuungana na familia yake katika kipindi hiki kigumu
Mungu amponye kwa hili tatizo lililomfika
Niwaonye pia viongozi na wapenzi wa yanga kama kuna kitu wanakifanya nyuma ya pazia waache Mara moja
Mambo ya kuvunjiana nazi yashapitwa na wakati
Mungu mbariki manara,Mungu ibariki simba s.c
Mwehuhuyundg umekosea sn kuingiza ushabiki ktk hili,usingeingiza habari ya yanga kwenye Uzi wako.kwa hiyo yanga wamemroga ama?haya mwanasimba.
Waafrika kujifanya hawajui uchawi, nyie ndio yanga wenyewe wavunja naziAiseee wee unaonekana hats kuzaliwakwako mganga alishiriki ujiowako loh ..Yanga wamloge anananini
Mkuu ushirikina upo, hata vitabu vitakatifu vimeutajaMbona unahusudu ushirikina wewe mtuma Uzi??????
Mkuu asante Kwa kunisahihishaMleta mada mwenyewe anajikanyaga tu kiasi cha kushindwa kuaiamini hata taarifa yake. Msemaji wa Simba ni Haji Manara na siyo huyo aliyemtaja yeye. Nijuavyo mimi Haji Manara ni mtu mwenye ulemavu wa ngozi hivyo matatizo ya macho ni kitu cha kawaida tu, hakuna uchawi wala nini. Mleta mada aache imani za kishirikina.
Ni kweli mkuu bw.manara kapata tatizo la machoNaomba hii habari iwe ni uzushi Manara we are together
Uchawi upo mkuu, hata hivyo nimetoa tahadhari tuKwahiyo unataka kutuaminisha kwamba karogwa?
Mkuu mi nimetahadharisha tu,ndg umekosea sn kuingiza ushabiki ktk hili,usingeingiza habari ya yanga kwenye Uzi wako.kwa hiyo yanga wamemroga ama?haya mwanasimba.