The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,170
- 20,202
Kweli wewe ni msocialist radical kabisa. Hao Eliza na Bernie sipendi kabisa ideas zao. For me asiyefanya kazi na asile. Ila wao ideas zao hata wasiofanya kazi wale. Big Nooo.No way Bora hata Trump,yaani Bloomberg Ni nguku kabisa,hafai,
Bernie sanderndo mtu sahihi ama elizabert warren
Niko kwenye payroll mkuu. Watu kwenye twitter to id za kumwaga kumsifu jamaaBloomberg nasikia ananunua wagombea ndani ya Dems ili wengine wajitoe asipate upinzani mkubwa.
Mkaldayo unataka kuhama Copen uhamie 'Nyuyoko' sema unaogopa Trump kutokana na kuwa strict sana kwenye migrant policies.
Bernie sanders ni rich communist. Ana nyumba tatu za kifahari na 2.5$Kweli wewe ni msocialist radical kabisa. Hao Eliza na Bernie sipendi kabisa ideas zao. For me asiyefanya kazi na asile. Ila wao ideas zao hata wasiofanya kazi wale. Big Nooo.
Tunajiandikishia wapi kumpigia kura blumbagi!Bernie sanders ni rich communist. Ana nyumba tatu za kifahari na 2.5$
The world needs Michael Bloomberg let us all support him. Paza sauti popote ulipo duniani MICHAEL BLOOMBERG
Lakini baada ya impeachment process ya Trump polls nyingi zimeonyesha kuwa Wamarekani wameongezeka wanaomkubali Trump tofauti na kabla ya mchakato huo.Niko kwenye payroll mkuu. Watu kwenye twitter to id za kumwaga kumsifu jamaa
aiseee mgerasi Tumuombeeni tu bloomberg awe rais hamna namnaLakini baada ya impeachment process ya Trump polls nyingi zimeonyesha kuwa Wamarekani wameongezeka wanaomkubali Trump tofauti na kabla ya mchakato huo.
Hivi Paula Paul ulisema Trump hatashinda re-election?
Huyo huyoo chaliiii yangu paza sauti popote ulipo na tumuungeni mkono hamna namnaUyu Bloomberg ndo uyu mwenye hii Channel ya Bloomberg DSTV ya mambo ya stock market!?
Huyo huyoo chaliiii yangu paza sauti popote ulipo na tumuungeni mkono hamna namna
Kabisa! Pia ndio mmiliki wa NYSE. 😎Uyu Bloomberg ndo uyu mwenye hii Channel ya Bloomberg DSTV ya mambo ya stock market!?
Ulitakiwa utuwekee hata sera zake hapa.Wanajamvi hamna namna ni kumuunga mkono tu mayor wa zamani wa new York billionaire Michael Bloomberg aweze kuombea dhidi ya Trump 2020. Bloomberg akiwa rais the world will be a better place to live belive me please.
The world needs Michael Bloomberg let us all support him. Paza sauti popote ulipo duniani MICHAEL BLOOMBERG
Die hard Michael Bloomberg suporter from JF and East Africa.
Pamoja sana bloomberg
He will make the world a better place to live.Ulitakiwa utuwekee hata sera zake hapa.
Nini atafanya akiwa rais.
Tushapata sera za Warren, Sanders, Buttieggeg n.k.
Sent using Jamii Forums mobile app