kilaza mjanja
JF-Expert Member
- Jun 2, 2016
- 654
- 1,143
Ndugu WanaJamvi,
Ndugu WanaJamvi,
Tumuunge mkono mtanzania mwenzetu ndugu Victor A Byemelwa ambae ni kijana mjasiriamali na mbunifu wa maswala ya kibiashara. Amekuwa akiiwakilisha nchi maeneo tofauti tofauti katika maswala ya kibiashara na ujasiriamali. Kwa sasa ni mshiriki wa shindano la Youth Citizen Entrepreneurship.
Mpaka sasa kijana mtanzania mwenzetu anaongoza kwa kura huku akifatiwa kwa ukaribu sana na mpinzani wake kutoka Bangladesh. Jamani utaifa unahuitajika sana ili kumuwezesha kushinda.
Amekuwa akishinda tuzo mbali mbali za kibiashara na nyingine nyingine za ndani ya nchi na nje ya nchi kwa sasa anahitaji kura zote za watanzania ili kumuwezesha kurudisha ushindi nyumbani.
Ili kuweza kumpigia kura unatakiwa kuingia link hii: https://www.entrepreneurship-campus.org/ideas/4/3497/
Jinsi ya kupiga kura:
1. Bonyeza link hapo juu kisha itafunguka website ya shindano hapo utaona upande kwa kulia kuna eneo lina rangi ya orange limeandika "VOTE NOW"
2. Bonyeza kwenye eneo lenye rangi ya orange lililoandika "VOTE NOW"
3. Itakupeleka chini kabisa ya website hapo utakuta picha yenye maandishi madogo ambayo utatakiwa kuyajaza kwenye nafasi ambayo ipo chini kama yalivyo.
4. Baada ya kuandika bonyeza eneo lenye maneno yanayo anza na "JETZET". UKISHABONYEZA UTAKUWA UMEPIGA KURA.
5. Baada ya kupiga kura utaona ujumbe unasema, "Done-Thanks for voting".
*Kwa siku unatakiwa kupiga kura moja, hivyo tumpigie kila siku ashinde.
Unaweza kupiga kura mara moja kwa siku. Hivyo kila siku unaweza kupiga kura moja.
NB: Kumbuka ndugu yetu Victor A Byemelwa kura 6000 ili kumuwezesha kushinda na kuiwakilisha nchi vyema. Tumuunge mkono.
Mbona maelezo yako ni tofauti na ninachokiona baada ya kubonyeza VOTE NOW mkuu. Inafunguka page yenye picha pamoja na melezo mengi kuhusu Victor na product aliyoinnovate. Hebu toa ufafanuzi mzuri tumpigie kura Mkuu
Mara 1 kwa siku.Kura unapiga Mara moja au you can either vote twice or thrice etc ?
rudi shule ukajifunze kusoma na kuandikaTumpigie kura kwa lipi?
Maelezo yako hayajitoshelezi
yani ndio ukweli wenyewe ila kitu ambacho watanzania twaweza kujivunia ni hivi lakini watu wanakuwa wagumu sana na pia ubinafsi ndio unapelekea kushindwa kila kituWatu humu wanajua tuzo za diamond tu all the best Mkuu
sasa mmpigie kura huyo mdauApplause.
link?sasa mmpigie kura huyo mdau
mbona ipo hapo juulink?