Wakati mwingine maradhi hutokea kama mitihani tu kwa mwanadamu na ukumbusho kwa wengine kuwa sisi SI lolote si chochote mbele ya mola wetu........
Unaweza ukafuata taratibu zote za kiafya lakini ukaangukia kwenye likakutesa na kuyachukua maisha yako.......
Kutokana na hali zetu za kimaisha tulio wengi tunakula na kunywa tunavyovipata na sio tunavyovitaka........
Kitu Cha muhimu ni kuishi kwa wema na wanadamu wenzako maana hakuna ajuae siku wala saa.........