Tumuombe Mungu siku zote

Tumuombe Mungu siku zote

Watu bwana. Hayo maandiko yanahusu wana wa izrael, wewe mwana wa masanja yanakuhusu nini? Wewe ni nyumba ya yakobo?

Mungu wa izrael, hajasema mungu wa wasukuma au wajalu au wahaya, wewe unang'ang'aniaje mungu wa watu wengine awe ako?

Mambo mengine yanaudhi sana.
 
MUNGU atabaki kuwa MUNGU tu! Hata kama humtaki na kumkana live! Siku akiamua uishike hiyo biblia na uanze kutangaza jina lake unalolipinga sasa hutachomoa!
 
Sijasema abadilike awe fisi au ng'ombe au mtu, nachouliza Mungu wa Izrael wewe unamuitaje mungu wako? Wewe ushaambiwa ni mungu wa izrael, mungu wa eliya, mungu wa yakobo, mungu wa isaka na mungu sijui wa nani.

Kwa nini ung'ang'anie mhngu asie wako awe wako?

Hawezi kuamua niishike biblia na nitangaze jina lake kwa kua uwezo huo hana.
 
Kwa akili zako nyingi ulizonazo unafikiri Mungu wako wangapi hapa ulimwenguni mpaka kila taifa liwe na wa kwake pekee?
 
Madaraka yanawafanya watu wamsahau Mungu. Lakini yaliyomkuta Sauli Mfalme kwa kwanza wa kabila la waislaeli ni funzo tusha kwa watawala vichwa ngumu wa sasa.
 
Back
Top Bottom