assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Uchimi wa Tanzania umepaa?Lema kasababisha uchumi wa Arusha umeshuka sana, Watalii hawaendi tena Arusha kwa sababu ya vurugu za Lema na genge lake la wahuni
Lema kasababisha uchumi wa Arusha umeshuka sana, Watalii hawaendi tena Arusha kwa sababu ya vurugu za Lema na genge lake la wahuni
Your wish is next to impossible mission to accomplish!
Kumbuka pia ule msemo unaosema dua la kuku halimpati mwewe.
Inajulikana wazi kuwa miongoni mwa wabunge wa CDM ambao magamba wasingependa kabisa warejee kwenye uchaguzi wa mwaka 2015, basi Godbless Lema anaweza kuwa top of the list.
Lakini pia kuna msemo unaosema Mungu si Athumani!
huu ni wasia kwa wananchi wote wapenda maendeleo wa jimbo la arusha mjini.
jimbo limepoteza hadhi yake ya utalii
tusifanye makosa tena tutajuta
huyu jamaa hawezi rudi amedeliver poorly-%
Unapoteza muda bure,
Muulize mwenyekiti wenu anaujua mziki wa Godbless Lema.
Kisha wahi kwa kinana katibu mkuu wa maccm.
Kabla hujamuuliza Mwiguli kwa nini alikimbia.
huu ni wasia kwa wananchi wote wapenda maendeleo wa jimbo la arusha mjini.
jimbo limepoteza hadhi yake ya utalii
tusifanye makosa tena tutajuta
Kila jambo lenye kuhitaji hekima kwenu nyinyi ni kuweka "mziki" tu! maendeleo hayaji kwa mziki.
huyu jamaa hawezi rudi amedeliver poorly-%
umekumbushwa
huu ni wasia kwa wananchi wote wapenda maendeleo wa jimbo la arusha mjini.
jimbo limepoteza hadhi yake ya utalii
tusifanye makosa tena tutajuta
mkuu haya majamaa mazito kuelewa
Haya ni mawazo ya mtu mwovu huwaza kutenda uovu muda mwingi ,hivi umeshindwa kwenda kutoa taarifa kituo cha police au unataka tu kupotosha .