Tumtumie mama Janeth Magufuli

Mkuu taratibu.
 
Wewe acha kudanganya watu hata ajira muhimu kama walimu zinapigwa pin
 
Mtahangaika sana mtandaoni. Mitaani ni haile, haile tu na Magufuli.
 
Kule Changanyikeni kuna familia ya huyu jamaa ila sielewi ni nani mke wa kwanza kati ya yule wa changanyikeni mwenye hata wajukuu na huyu mama J anayemtembeza hadi visiwani kuwananga wananchi wake.
 
Kule Changanyikeni kuna familia ya huyu jamaa ila sielewi ni nani mke wa kwanza kati ya yule wa changanyikeni mwenye hata wajukuu na huyu mama J anayemtembeza hadi visiwani kuwananga wananchi wake.
Funguka tuelewe Fanya utafiti
 
Unajua
Mbona mnalalamika sana? Fanyeni kazi
Unajua huko Kilosa plastiki ya Lita 20 ya nyanya inauzwa sh. 700. Piga hesabu ili ununue kitenge cha sh. 5,000 unahitaji plastiki ngapi na eka moja unapata plastiki ngapi.
Kalime mahindi, mpunga, vianzi, magibi...... nk, halafu uje JF utupatie uzoefu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…