Excel Kuna Mtu Anaomba Poo Huku
Kiruuuu..wewe wapenda mwanga uone nn maneno yanatosha atiiii😕😕
huhuhuuu! nna kamzuka sana leo!
mkipita hapa muongeze reputation fasta kabla kamkuyati hakaisha nguvu! huhhuuuuu!
usiku mwema, nagonga kesto bariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiidi hapa!
chichi: Husninyo bibie Chauro mamii kan'tangaze! loler!!!
ntajaza iendane na interests za BAK! teheeeeee! soma kimya kimya.
Kaka hujarara????
huhuhuuuu! dada kwanini umeamka bhana? niko shift reo narinda rindo ra mtaa!
usiku mwema..!
huhuhuuuu! pole!Usingizi umenitoroka!!
hivi hapa nipo MMU au chit chat lol
Heeee ngoja nikimbie baba chanja akichungulia humu mmekwisha ......teh!
Sijawahi kutia moyo hata siku moja...
Sa si ujitolee kumpenda kuliko kuachia watu wamtie nini sijui....Jamani Tumtie Moyo Dada luisajr Anaitaji Wa Kumpenda Ila Haonekani, Kwaiyo Kama Ukipata Muda Unaeza Ukamtia Moyo Uko Pm Ili Aweze Kujihisi Vema, Najua Kuna Watiaji Wa Moyo Wengi Humu Kama Akina Husninyo Asprin The bold Bujibuji Bila Kumsahau Dada Evelyn Salt Na masai dada Hao Ni Baadh Tu Ya Watiaji Wa Moyo Japo Wapo Wengi Kwelikweli, MTIENI MOYO
Bora yangu mi nimelala....Usingizi umenitoroka!!