Maisha ndivyo yalivyo kama kweli limekugusa muombee rehema kwa Mungu..binadamu kuna muda tunajisahau sana na kuona tumefika mambo flani flani yakiwa mazuri,tunasahau kuwa sisi ni kama majani tunastawi na kunyauka vilevile..
Muhimu ni kumuweka Mungu mbele kwa kila jambo kahuna ajuaye litakalo zaliwa na siku moja.