Tumshauri yahaya jamani..afanyej?

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
1,344
462
Yahaya kapata trip ya kikazi dodoma,
kufika akaamua kumtafuta mpenzi wake wa UDOM ili apate
pa kujificha,
kesho yake mrembo akamuomba amwazime laki 3,
Yahaya akampa A.T.M Kadi na Pin na kumwambia atumie
vyovyote anavyotaka,
kumbe A.T.M ina elfu 5 tu,
kabla hajashitukiwa akakwea gari ili arudi dar,
njiani simu ikakata chaji,
kafika home kaweka kwenye chaji akalala,
kuamka asubuhi anakuta sms kutoka kwa bosi wake ikisema
"Yahaya nimeweka milioni 10 kwenye akaunti namba yako,
usirudi kwanza dar mpaka uwalipe mafundi".
Mshauri Yahaya ameshika sumu muda huu anataka kujiua
 
Nimecheka sana, aende kwenye benki yake kublock hiyo ATM yake asingizie ameibiwa alipokuwa safarini.
 
Yahaya kapata trip ya kikazi dodoma,
kufika akaamua kumtafuta mpenzi wake wa UDOM ili apate
pa kujificha,

kesho yake mrembo akamuomba amwazime laki 3,
Yahaya akampa A.T.M Kadi na Pin na kumwambia atumie
vyovyote anavyotaka,
kumbe A.T.M ina elfu 5 tu,
kabla hajashitukiwa akakwea gari ili arudi dar,
njiani simu ikakata chaji,
kafika home kaweka kwenye chaji akalala,

kuamka asubuhi anakuta sms kutoka kwa bosi wake ikisema
"Yahaya nimeweka milioni 10 kwenye akaunti namba yako,
usirudi kwanza dar mpaka uwalipe mafundi".
Mshauri Yahaya ameshika sumu muda huu anataka kujiua

Msaidiani jamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom