Tumshauri huyu dada kweli amekwazika sana.

Mahunguchila

Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
74
Reaction score
34
Habari wana JF.

One of my workmates leo amepokea video clip ya ajabu sana toka kwa mkaka ambae sio mpenzi wake, wala close friend ila anadai alitambulishwa na boyfriedn wake. Wamekuwa wakichat mara chache kwa whatsapp hasa kutumiana msg za merry xmas n.k.

Leo kamtumia video clip ya wakaka wawili wanafanya mapenzi (mashoga)! AListuka sana akatuita na kutuonesha iyo kitu. Hana raha na anashindwa amwambieje uyo kaka.

Hivi kweli mwanaume mwenye akili zako timamu unawezaje kumtumia mwanamke clip ya mashoga? Nimejiuliza chain ya watu wenye iyo clip, ivi kweli si ndio mwanzo wa kuwashawishi hadi watoto wadogo jamani? Tunaenda wapi jamani watanzania? Huyu dada amesikitika sana!Hebu tumshauri mwenzetu jamani amfanyeje huyo mtu na yeye anadai anamheshimu sana.
 
Majibu anayo yeye mwenyewe. Aina ya mtu aliyetambulishwa na boyfriend wake. Na huenda ni ujumbe mzuri kwake kwamba boyfriend aliyenaye huenda ni mshirika wa hayo makitu. Rejea usemi wa ndege wanaofanana huruka pamoja.
 
watu wengine bana, yaani huyo dada alivyowaonesha nyie wala hajastuka na kujiskia vibaya kwa alichofanya? au nyie hapo ofisini ndio zenu kuoneshana mambo ya kishetwainii? alichotendewa yeye na huyo kaka na alichokitenda yeye kwenu nyie huyo dada sawa sawa tu.
 
Hilo nalo neno!Ila anasema huyo kaka ni mfanyakazi mwenzake!Kweli dunia imekwisha. Thanks kwa ushauri, yupo apa ameupata.
 
amekuomba umshauri au umejiomba mwenyewe kumshauri...!!!?
na ameanzaje kukuelezea hiyo clip..???
 
Pole sana. Ndio hivyo mtu akishazoea uchafu naye anakua sehemu ya huo uchafu, na bahati mbaya hana tena utambuzi kuwa watu wengine sio wachafu kama yeye. Andhani huo ulimwengu wake ni wa kila mtu.

Pengine alikua anamtumia mwenzie akakosea number. Mwambie dada apuuzie, aone kama jamaa alikosea tu namba kwa sasa.

Habari wana JF.

One of my workmates leo amepokea video clip ya ajabu sana toka kwa mkaka ambae sio mpenzi wake, wala close friend ila anadai alitambulishwa na boyfriedn wake. Wamekuwa wakichat mara chache kwa whatsapp hasa kutumiana msg za merry xmas n.k.

Leo kamtumia video clip ya wakaka wawili wanafanya mapenzi (mashoga)! AListuka sana akatuita na kutuonesha iyo kitu. Hana raha na anashindwa amwambieje uyo kaka.

Hivi kweli mwanaume mwenye akili zako timamu unawezaje kumtumia mwanamke clip ya mashoga? Nimejiuliza chain ya watu wenye iyo clip, ivi kweli si ndio mwanzo wa kuwashawishi hadi watoto wadogo jamani? Tunaenda wapi jamani watanzania? Huyu dada amesikitika sana!Hebu tumshauri mwenzetu jamani amfanyeje huyo mtu na yeye anadai anamheshimu sana.
 
watu wengine bana, yaani huyo dada alivyowaonesha nyie wala hajastuka na kujiskia vibaya kwa alichofanya? au nyie hapo ofisini ndio zenu kuoneshana mambo ya kishetwainii? alichotendewa yeye na huyo kaka na alichokitenda yeye kwenu nyie huyo dada sawa sawa tu.
Husniyo huwezi amini hakuna aliyeangalia hiyo clip kwa sekunde 3!Imeanza kuonesha wakaka 2 wanabusiana! Yeye akipoona hivyo ndo akatushirikisha na sisi! Naomba unielewe!
 
amekuomba umshauri au umejiomba mwenyewe kumshauri...!!!?
na ameanzaje kukuelezea hiyo clip..???

Ndugu yangu mbona nimeeleza wazi tu? Katumiwa clip alipodownload kaona wakaka 2 wanabusiana!Hakuendelea kuiangalia ndo akatushirikisha na sisi! Hakuna aliyeangalia iyo clip na anaomba nimshauri afanyeje? Kweli mtu anaweza kujiomba ushauri mwenyewe?
 
Pole sana. Ndio hivyo mtu akishazoea uchafu naye anakua sehemu ya huo uchafu, na bahati mbaya hana tena utambuzi kuwa watu wengine sio wachafu kama yeye. Andhani huo ulimwengu wake ni wa kila mtu.

Pengine alikua anamtumia mwenzie akakosea number. Mwambie dada apuuzie, aone kama jamaa alikosea tu namba kwa sasa.

Asante TIZED kwa ushauri na maoni yako. Amekusikia.
 
Mume wako leo akiwa ana do naye ajaribu kupeleka kidole,akiona anakifuata na hata kinaingia kilanii...
Pili ajaribu kuchunguza shuzi la huyo mtu wake..,kama linatoka kizembe!!
Basi akonect dots!!
Then tunakuomba na wewe uje utupe feedback hapa
 
Husniyo huwezi amini hakuna aliyeangalia hiyo clip kwa sekunde 3!Imeanza kuonesha wakaka 2 wanabusiana! Yeye akipoona hivyo ndo akatushirikisha na sisi! Naomba unielewe!

hata kama! kwanini achukie kitendo alichofanyiwa yeye wakati na yeye ameweza kukifanya hicho hicho? ningekuwa mimi ni huyo dada ningeifuta hiyo clip kimya kimya ila huyo dada anaonekana nae anazipenda hizo videos na ndio maana huyo kaka ameweza kumtumia. huyo dada hajiheshimu.
 
Sidhan kama ni tatizo maana kwa kuwashirikisha nyinyi tayari katengeneza tatizo kwa kawaida kitu usichokipenda si vyema ukakitenda kwa wenzio. Kwakitendo cha yeye kuwaonyesha nyie kwa maana nyingine ni sawa kawapatia au kuwaonyesha kitu kbaya ambacho kwa sasa ndo waonyesha hasira zako wewe na si huyo dada.
Angekuwa na busara naamin angeifuta na kudeal au kumweleza mhusika ni nini hapendi na kumuonyesha yeye kasimama wapi. Lakin kwa kukaa kimya na kuwaonyesha nyie tayar hicho kitu kakiona sawa kwake. Na asifikirie watu wako sawa na yeye kifikra
 
Heh jmn si Amchane live,if it were me,yani hata huo ushauri mbona nisingeomba,ningemchamba huyo mtumaji hadi tuheshimiane...eti anamuheshimu,amwambie straight clip za kipuuzi atumie wengine na mawasiliano iwe mwisho ikibidi
 
hata kama! kwanini achukie kitendo alichofanyiwa yeye wakati na yeye ameweza kukifanya hicho hicho? ningekuwa mimi ni huyo dada ningeifuta hiyo clip kimya kimya ila huyo dada anaonekana nae anazipenda hizo videos na ndio maana huyo kaka ameweza kumtumia. huyo dada hajiheshimu.
Husniyo sidhani kama uko sahihi, ni kwa vile labda humfahamu vizuri this lady! She is among the most behaving ladies I know! Mimi mtu mzima kidogo ila I know what I am telling you. Tulifikiria labda wamekuwa wakitumiana sms chafu ila hapana! Zipo sms za xmass na new year tu! Anyway asante kwa maoni yako kama ana hizo tabia atajirekebisha.
 
Husniyo huwezi amini hakuna aliyeangalia hiyo clip kwa sekunde 3!Imeanza kuonesha wakaka 2 wanabusiana! Yeye akipoona hivyo ndo akatushirikisha na sisi! Naomba unielewe!

Wanawake mnapenda sana kuoneshana oneshana vitu vya ajabu...mtakuwa mmezoea sana kupiga umbea ninyi si bure!!!
 
kwa nini asimukanye!! huyo jamaa!!!! kwa kumwambia ukweli kuwa staki hiyo tabia!!
 
Huwez jua huyo aliyekutumia hyo clip anatafuta njia ya kuwa karbu nawe ktk maswala hayo,au anaupungufu fulan

Ila kafanya kitendo cha kujiamin..

Nawasilisha.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom